WE ARE SIMBA: Tukutane uwanja wa Taifa Jumapili 25 Agosti 2019

WE ARE SIMBA: Tukutane uwanja wa Taifa Jumapili 25 Agosti 2019

upo sawa mkuu wote ni washabik wa simba tusijifarij saana kwamba tuna timu nzur bado ukuta wetu ni janga kubwa. pale nyuma tungekuwa na combineshen kama ya yokub na agrey wa azam na tungepata mtu kama bwalya angalau tungesema tuna uhakika hata wa kufikia record ya mwaka jana. Kwa simba hii na uchebe jins alivyokariri wachezaj tutafika makund kwa vile droo imetubeba kiaina. Replacrment ya wawa na bocco ni inevitable. Afu na sisi tunapenda sana vya bure huwez tegemea kupata jembe la maana kwa kusubir wachezaj waliomaliza mikataba ndo uwasajil. Watu wanavunja bank, Kwa simba level yetu kubwa itakuwa kwenye makundi
Ni kweli kabisa lakini amini usamini bado wapenzi wengi wa Simba bado hawajaona tatizo kwenye kiungo mkabaji na beki wa kati pamoja na kuangalia mechi ya Azam wao wanaangalia ubao wa matokeo basi wanaridhika. Yule Chilunda angekuwa na uzoefu kidogo tu ilikuwa majanga na sijui kwanini Azam hawakuwaanzisha Chirwa, Ngoma na Nado/Chilunda kwa pamoja maana mechi ingekuwa ngumu sana. Simba tukatae tukubali kosa kubwa limefanyika kumwacha Kotei aondoke na pia hatukutafuta beki wa kati wa kimataifa anayelijua soka la Afrika. Anyway tusubiri labda hao wabrazili wakipata moto labda watasaidia vinginevyo unakutana na Esperance, TP Mazembe, Al haly huku kiungo mkabaji Mkude na beki wa kati Wawa hiyo zile tano tano ndio mwanzo wake. Huyo Wawa kwenye ligi ya bongo bado fresh tu. Ila Uchebe naye acheze kamari kwa akina Kennedy na Mlipili wapate uzoefu wanaweza kuja kumsaidia huko mbele ya safari.

Ila kwa ligi ya bongo nazionea tu huruma timu pinzani kwa kweli kuna timu dhahama kama sio gharika litawakuta.
 
u

uko sawa boss lakin tukiweka ushabik pemben tuongee kama wanamichezo wa kawaida...nadhan last season ulifatilia gemu tulizocheza away dhidi ya as vita, alahily soura na mazembe..ukifanya assesment kwa makin utagundua kwamba wawa ni bek mzur ila umri umemtupa mkono gemu zenye kas na presha kubwa za away haziwez anafanya makos kibao tuombe mungu na msimu huu tufike makund afu ntarud hapa kwenye hii thread
Shida unapenda kukariri sana mkuu, jitahidi kutulia uje ukosoe jambo likitokea,
Ile man city ikikutana na Totaham Mara nyingi kila upande kunakua na magoli mengi kwa sababu ya aina ya mfumo wanaocheza Man city wa kushambulia, ndo mana mabeki wa man city wanaaza kukaba Kwenye mstari wa kati.
Sasa inapokutana na washabuliaji wanaokimbia kana wa Toteham ni rahisi kufungika.
Ndo mana game ya simba na Azam magoli yalikua mengi kwa sababu timu zilicheza open football.
Ka uliangalia game ya UD songo Gadiel Michael hakupanda kabsa ka tulivyomzoea, nafikiri kwa ajili ya maelekezo ya kocha.
Ila pia Wawa hawezi kucheza mipira ya kona na ya kutengwa
 
tusidanganyane kwa wachezaj kama boko na wawa hatuwez toboa tukikutana na timu nzuri kama:whydad,esperance,etc mimi ni simba lialia lakin kwa maon yangu binafsi ud songo tutawatoa kwa vile sio wazur na foward wao hawapo makin.Kama ule uzembe wa mabek wetu
Tungekuwa tunacheza labda na timu hata kcca tu ya uganda shughul ingekuwa ishaisha. Kwa simba hii na jins uchebe anavopanga timu makund tutafika kwa vile msimu huu tuna fixture rahis kidogo compared to mwaka jana .. asilimia kubwa tukiwatoa ud songo tutacheza na platnumz ya zimbabwe ambao nao sio wazur sana kiivo.Lakin kwa neture ya hiz bek zetu na fowad anae pata nafs kumi anafunga moja hatutoboi wala sion tukivunja record ya mwaka jana.
MAONI
Imefika wakat sasa uchebe aache kupanga timu kwa kukariri ajaribu combineshen za bek wengine kama.. nyon na mbrazil ,au nyon na kened wilson yule alietoka singida au hata mlipil . kule mbele ni muda sasa wa kumpa mapumziko captain boko tuna vipaj ving .. uchebe aache kukariri upangaj wa timu
NB. Sina taaluma ya ukocha lakin kwa bek ya wawa na foward ya boko time will tell
Kweli huna taaluma ya ukocha
 
Back
Top Bottom