We endelea kusema Uzuri wa Mwanamke siyo Sura ni Tabia. Kujifariji

We endelea kusema Uzuri wa Mwanamke siyo Sura ni Tabia. Kujifariji

Duuuuuuuu!!! Siyo kwamba una sura nzuri au mbaya ndo utazaa mtoto mzuri au mbaya ,hakuna kitu kama hicho,wapo warembo wazuri sana ila wazazi wao si kwamba walikuwa wazuri hapana,

Mi napenda sana wanawake wabaya hao hao mnaosema ni wabaya,ila naamini kuwa hakuna mwanamke mbaya wala mzuri,mwanamke mpe matunzo tu
Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wakijichubua na cosmetics kibao wakabadili muonekana wao wa asili na kuwa kama majini ndio mnawaita wazuri? Anyways tusipangiane, kila mtu afate maisha yake.
 
Ukimpata huyo unayemtaka harafu apate ajali ya moto yenye kuharibu sura yake, utamuacha?
Pimbi kabisa, unakosoa uumbaji ukiwa hujui babu ya babu yako alikua vp? What if genetic ikifanya yake?

Simbilisi we
 
Si kweli mwanamke tabia, ingekua sura na shape masuperstar wetu was bongo wangeolewa,
MF Irene uwoya- mrembo haswaaaa
Hamisa mabede- mzuriiii
Wema sepede- wote wazurii na wanashape na hatari bila kumsahau sanch.

Kama mwanamke sura na shape mbona HAWAOLEWI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom