J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
Duuuuuuuu!!! Siyo kwamba una sura nzuri au mbaya ndo utazaa mtoto mzuri au mbaya ,hakuna kitu kama hicho,wapo warembo wazuri sana ila wazazi wao si kwamba walikuwa wazuri hapana,
Mi napenda sana wanawake wabaya hao hao mnaosema ni wabaya,ila naamini kuwa hakuna mwanamke mbaya wala mzuri,mwanamke mpe matunzo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi napenda sana wanawake wabaya hao hao mnaosema ni wabaya,ila naamini kuwa hakuna mwanamke mbaya wala mzuri,mwanamke mpe matunzo tu
Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app