Hakuna kitu kinaitwa "inchi" broTanzania bado hatujaweza kufanikiwa vizuri katika Agriculture revolution.
Industrial revolution iko kwenye mchakato kwa mskumo wa Kisiasa.
Kenya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika swala Zima la Industrial revolution.
Inchi zenye uchumi wa aina hii zina policy inayozuia finished products toka nje.
Kenya wako tayari kuagiza mahindi hata kutoka Brazili, Zambia, South Africa au popote lakini si kuagiza unga toka Inchi za Nje.
Inchi kama Brazili wameendelea kuliko Tanzania lakini kama kuna Inchi inataka mahindi hawawezi kuwapa masharti kwa sababu wao wanataka pesa.
Tanzania tukubali kuuza ziada ya mahindi yetu Kenya kwa manufaa ya shilingi yetu ukilinganisha na shilingi ya Kenya na kwa manufaa ya wakulima wetu kwa sababu watapata soko na bei zitakuwa juu.
You asked me why some trucks are not allowed to go through, all those trucks are full of maize, not flour. The problem you are not organized and you don't have knowledge of what you are talking about.We were talking about flour here not maize. Where is the agreement you talking about eti tutanunua unga from Tz?. We can only buy the grains and not flour, Good night.
Nimekuuliza " What is an agreement ", inawezekana unataka kuona gunia za mahindi na unga. Tell me what agreement is?"Agreemen" no yako, nimekuomba unishow agreement.
Hehehe king of rumours, lala because kupata the agreement you are talking about imekushinda.You asked me why some trucks are not allowed to go through, all those trucks are full of maize, not flour. The problem you are not organized and you don't have knowledge of what you are talking about.
Nimekuuliza " What is an agreement ", inawezekana unataka kuona gunia za mahindi na unga. Tell me what agreement is?
Hehehe hiyo ndio mkataba? Kumbe hii gazeti haidanganyi, you're more than stupid.View attachment 1166683
Pumbavu wewe, Mimi ninazungumzia mkataba sio maktaba, sasa hao wanafanya nini hapo kama sio kuingia makubaliano ya kuuziana mahindi na unga kwa niaba ya nchi zao, hivi kweli unajua hata maana ya " mkataba", ulitaka kuona magunia ya mahindi yapo hapo mezani?.
Who are you to say that, while Uhuru Kenyatta agreed to buy flour and maize as it is supported by your Principal secretary for Agriculture who signed that agreement?. Remember "a hungry stomach can't fight"
Who are you to say that, while Uhuru Kenyatta agreed to buy flour and maize as it is supported by your Principal secretary for Agriculture who signed that agreement?. Remember "a hungry stomach can't fight"
What is agreement?I want to see the agreement stating that Kenya agreed to buy flour from Tz, that's what we are arguing on. Sio mambo ya mahindi.
Leta link ya hyo agreement hapa tuione
Njaa mliyonayo hamna jeuri hiyo. Msikilizeni katibu MKUU wenu wa KILIMO jinsi alivyo mnyonge anabembekeza chakula, sisi ndio tunaoamua nini tuwape, sio ninyi njaa njaaKamwe kenya haitonunua unga kutoka tanzania...
Njaa mliyonayo hamna jeuri hiyo. Msikilizeni katibu MKUU wenu wa KILIMO jinsi alivyo mnyonge anabembekeza chakula, sisi ndio tunaoamua nini tuwape, sio ninyi njaa njaa
Hahahaha, hahahaha, acha kuchekesha watu aisee. Government is responsible for protecting its people including farmers from exploitation, remember by value addition within the country means more jobs and more money for farmers and Government.
Trade linearization is not about to ban maize importation in order to protect Kenyans farmers, neither to give more airtime Kenyan music than music from outside Kenya through " Play Kenyan music campaign ".Don't you know what happened to cashewnuts, who caused the saga and what happened and who is solving it right now??----- many of the poor farmers have been left helpless without being paid.
Trade liberization is what determine a type of purchasing and selling of goods in a given market.
Let those who want to sell maize flour do so and so do those who want to sell grain maize. From the grain maize you can have maize husk for animals feeds etc.
Trade linearization is not about to ban maize importation in order to protect Kenyans farmers, neither to give more airtime Kenyan music than music from outside Kenya through " Play Kenyan music campaign ".
It's about our pace and implementation of our industrialisation policy, we have to encourage processing industries as long as we meet standards for Kenyan markets then why not?So our customers need to be treated the way we like? It would be good to discuss with the customers for getting quality and satisfying services for dear customer.