babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wachina hawaongei kingereza lakini wanawapapasa wakenya balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaa haa,
[emoji14] [emoji1787]
amekupiga mpaka umepoteza muelekeo [emoji854][emoji854]. Unaanza sijui kusema lugha ya maikia inaleta na kuongeza chakula mezani.
poor you. Kuna watu hawajui hata hicho kiingereza mnachojifanya mnajua lakini wakawapiga kwenye SGR.
Bwa haha ha ha ha