luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi.
Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume najikusanya na vimatunda kwenda kumuona mgonjwa nikifika kwake dogo anaomba mapigo.
Embu na wewe useme sasa, ulishawahi ombwa mapigo?