We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

Poleee sana jaman imeshawahi nitokea hiyo nikaenda kwa sponsor tukagombana ikabid nimtafute mkaka tuliyekutana kwenye gar akaja akanichukua tukawa wapenzi ila tulipotezana baada ya familia yake kuhamia s Afrika ilikuwa Bukoba tulikutanaga kwenye bus za Friends .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma ya alikiba #maumivuPerDay ihiusike!!
wakati ukuta.
 
Hahahaha ukiniota huwa unaniona nafanana na nan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hufafanani na mwingine isipokuwa kwa wale unaofanana nao.

Uzuri wako ni ule ule, jicho lako la mahaba ni lile lile, pozi ni lile lile, utundu ni ule ule(uliomzimisha bonge), body temperature ni ile ile, kufinya kwa ndani ni vile vile.......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Harafu mi bado wanawake sikuwajua nilikuwa bussy sana na kujijenga ila sice last month kila time nakuwaza tu Demiss nikaona wakati umefika nifanye yangu ila nakushukuru kama utanipenda kweli tutafika mbali
 
Ka Hujui chochote kuhusu mpenzi wangu tena naomba umuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…