We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

Kwanza saivi nimeshaachana na mitandao ya kijamii pili nipo busy na kazi ambayo kiufupi imekuwa boraa kuliko ile ya mwanzo
Tatu nimekuwa wife material yani nasumbuliwa kuolewa
Nne sitegemei pesa ya mwanamme saivi


Aliyenibadilisha ni Mshana kiufupi ni mtu mwemaa sana


Sent using Jamii Forums mobile app
My Twende PM
 
Alafu kama ni kweli mm sna kinyongo pm ipo wazi aje akamatie fursaa aache kuniota anione liveee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi watu wa mpira tunasema kama ni beki ishakatika, kipa kashaenda markiti kabaki yeye na goli, sasa akishindwa kufunga akabutua nje basi huyo si mchezaji bora atundike daluga tu akafanye shughuli nyingine.

Nadhani atakua ameelewa
 
Back
Top Bottom