We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

Mshana Jr kimya chako kinanitisha unafanya nini?
Ila niachie huyu binti mi nimempenda kweli we mbona unawake zako
 
Kwanza saivi nimeshaachana na mitandao ya kijamii pili nipo busy na kazi ambayo kiufupi imekuwa boraa kuliko ile ya mwanzo
Tatu nimekuwa wife material yani nasumbuliwa kuolewa
Nne sitegemei pesa ya mwanamme saivi

Aliyenibadilisha ni Mshana kiufupi ni mtu mwemaa sana
Na kwa upande wako ya duniia mataamu ka nini, utayaachaje kwa mfano!😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hakika nampa offer weekend aje dodoma
Hahahaaa, basii kama ni hiivyo bora tu umtunuku hicho ulichojaaliwa na Maulana maana isijekua natokea ule mkoa ambao ukiwazingua wanajitia kitanzi

Kwa jinsi aliivolalamika kua hapati usingizi ajli yako basi atakua kashafika ile steji ya kukuona kwenye glass anapokunywa maji😛😛😛

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri kuwa mtumwa sasa maana uhuru utakufikia siku yake
Demiss
Binti muwazi mwerevu. Toka nilipo kufahamu natumia muda mwingi kusoma comment zako. Ninapoona jina lako napata furaha. Leo usiku nimekesha nakuwaza. Saa kumi na mbili Alfajiri nikapitiwa na usingizi nikakuota. Demiss nimekuwa mtumwa kwako yani sijui nisemeje uone mateso ninayopitia
 
Kwanza saivi nimeshaachana na mitandao ya kijamii pili nipo busy na kazi ambayo kiufupi imekuwa boraa kuliko ile ya mwanzo
Tatu nimekuwa wife material yani nasumbuliwa kuolewa
Nne sitegemei pesa ya mwanamme saivi

Aliyenibadilisha ni Mshana kiufupi ni mtu mwemaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mimi ni mwema pia. Kama umetulia ndicho ninacho kipenda unastahili mume sasa! Nakupenda peke yako nipo tayari kufanya yote kwaajili yako. Ninaardhi kubwa iringa uje tunywe ulanzi na mahindi ya kuchoma. Mshana Jr ni rafiki yangu na ananijua muulize habari zangu. Mi ukinikubali nataka nikuoe
 
Mshana alikuwa mpenzi wangu ujue ila tushaachana ndo kanibadilisha huyo ujue sasa hapaaa mtihani kidogo nianze kumuuliza taarifa zako tena sema nn weekend mm nakuja Iringa
Jamani mimi ni mwema pia. Kama umetulia ndicho ninacho kipenda unastahili mume sasa! Nakupenda peke yako nipo tayari kufanya yote kwaajili yako. Ninaardhi kubwa iringa uje tunywe ulanzi na mahindi ya kuchoma. Mshana Jr ni rafiki yangu na ananijua muulize habari zangu. Mi ukinikubali nataka nikuoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo serious mkuu
Mkuu fanya ile kitu roho inapenda. Bahati nzuri sikuhizi Tanzania ni ndogo kiila mahali panafikika

Hiyo offer inaitwa Open Chaque, yaani imeshasainiwa halafu wewe unajaza tarakimu tu uende ukai cash bank😀😀😀
 
Back
Top Bottom