Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Na kwa upande wako ya duniia mataamu ka nini, utayaachaje kwa mfano!😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa upande wako ya duniia mataamu ka nini, utayaachaje kwa mfano!😀
Mkuu tayari kamgambile kashafanya yake 🤣🤣🤣Naona Maruwe ruwe humu ndani
Na kwa upande wako ya duniia mataamu ka nini, utayaachaje kwa mfano!😀
Hahahaaa, basii kama ni hiivyo bora tu umtunuku hicho ulichojaaliwa na Maulana maana isijekua natokea ule mkoa ambao ukiwazingua wanajitia kitanzi
Kwa jinsi aliivolalamika kua hapati usingizi ajli yako basi atakua kashafika ile steji ya kukuona kwenye glass anapokunywa maji😛😛😛
Mkuu tayari kamgambile kashafanya yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani mimi ni mwema pia. Kama umetulia ndicho ninacho kipenda unastahili mume sasa! Nakupenda peke yako nipo tayari kufanya yote kwaajili yako. Ninaardhi kubwa iringa uje tunywe ulanzi na mahindi ya kuchoma. Mshana Jr ni rafiki yangu na ananijua muulize habari zangu. Mi ukinikubali nataka nikuoeKwanza saivi nimeshaachana na mitandao ya kijamii pili nipo busy na kazi ambayo kiufupi imekuwa boraa kuliko ile ya mwanzo
Tatu nimekuwa wife material yani nasumbuliwa kuolewa
Nne sitegemei pesa ya mwanamme saivi
Aliyenibadilisha ni Mshana kiufupi ni mtu mwemaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀
Hahahaaa, akiichia offer hii impite atakua amekosea sana, kama kweli yupo serious atainyakua fursa hiyo adhimu na adimu bila kupepesa macho wala kutikisa masikio
Nakuja Malkia natamani nikuone live
Nipo serious mkuuHahahaaa, akiichia offer hii impite atakua amekosea sana, kama kweli yupo serious atainyakua fursa hiyo adhimu na adimu bila kupepesa macho wala kutikisa masikio
Heri kuwa mtumwa sasa maana uhuru utakufikia siku yake
Jamani mimi ni mwema pia. Kama umetulia ndicho ninacho kipenda unastahili mume sasa! Nakupenda peke yako nipo tayari kufanya yote kwaajili yako. Ninaardhi kubwa iringa uje tunywe ulanzi na mahindi ya kuchoma. Mshana Jr ni rafiki yangu na ananijua muulize habari zangu. Mi ukinikubali nataka nikuoe
Mkuu fanya ile kitu roho inapenda. Bahati nzuri sikuhizi Tanzania ni ndogo kiila mahali panafikikaNipo serious mkuu