We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

We member wa Jf mwenzio usiku sijalala

Wivu marufuku jamani yani ilikuwa bahati yangu manzi njoo kwenye shamba langu la kifahari
 
Khaaaa una miaka mingapi kama hata 29 hujafikisha kiukweli sitakubali nakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja angalia mind yangu namna ninavyo jishughulisha na kazi yangu pia pili jaribu kulala nami hata usiku mmoja uone shughuli yake my mi hata usinikimbie urajiuliza kwanini nilikuwa kimya siku zote
 
Dah, jana nilikuwa natokea mkoani kufka shytown akapanda mdada nikachekiana naye fresh tu, tukapeana manamba.. Sema alikuwa anaenda kwa sponsor wake moro... MOYO UNAUMA SANA.. Sasa jamaa ako huyo analeta maumivu tena kuwa kakuota mim nikalala na maumivu tayari[emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahahahha hii yako mpya

Sent using Jamii Forums mobile app

wakati ukuta.
 
Back
Top Bottom