We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

Nimejizuia kucomment

My life is mine to remember
 
Hata mimi nilishawahi kuuliza alipo Lara1, kwakweli alikuwa anachangamsha sana Jukwaa. Lara1 where are u?
 
Kuna watu humu huwa wanajifanya wajuzi wa kuchamba watu mie huwa nawacheki tu, kuna watu humu tulichambwa na lara1 na tumesavaivu na jamaa fulani hivi ukimzigua anakuchamba kwa kizungu tena kizungu chenyewe kile, nae haonekani siku hizi. Kama tulisavaivu hao wawili, hamna tena wa kuchamba.
Na mpirani kulikuwa na wacha1. Mjukwaa yalikuwa ya moto.
Siasani kulikuwa na jamaa wawili mmoja sisiemu mmoja chadema, nimewasahau majina. Hawa ninkama walikuja kwa ajili ya uchaguzi tu. walikiwasha humu baada ya uchaguzi wakaondoka. ilikuwa balaa. Hawa walikuwa Wakiongezwa nguvu na Salary Slip (wakati hajachacha kama sasa) na Laki Si Pesa (wakati yupo kwa lowassa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…