We miss you JPM, where are you!!?

We jamaa nilipumbavu sana unatetea sekta binafsi zakinyonyaji Kwa kivuli Cha ajira Kwa wananchi. Magufuli alikutayari kuua kitu kisicho na maslai Kwa taifa. Sasa kama wewe unaona ni Bora kuuza rasilimali Kwa bei ya kutupwa kisa wananchi wapate ajira nina wasiwasi na uwezo wako kichwani.
 
"Mtanikumbuka. Tena mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mazuri kwa maana nimeamua ku sacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania". Mwisho wa kunukuu.
 
Upumbavu huwa unaanza kwenye fikra, Nadhani una changamoto sehemu ndio maana huwezi kuwa na maono.

Hakuna Nchi iliyoendelea kwa kuziua sekta binafsi, hizo sekta binafsi ambazo unadai ni za kinyonyaji ni zipi?

Chini ya jiwe makampuni mengi ya tafiti yaliondoka nchini kwa sera zake ambazo sio shirikishi.

Hakuna kitu kibaya kama kuzoea kuishi kwa uongo, jiwe alikuwa muongo.

Miradi mingi aliyokuwa anatekeleza alikuwa anasema ni kwa pesa zetu ila ukienda kwenye hiyo miradi mabango utakayokutana nayo ni tofauti kabisa na maelezo ya jiwe. Rejea: pita kwenye daraja la kijazi na mfugale kasome mabango ya wahisani wa ujenzi ule.

Kwakuwa alijua watanzania wengi hawapendi kusoma ndio maana alikuwa anatuongopea.

Heri kupata kidogo kuliko kutokupata kabisa, alitakiwa kukaa na wawekezaji na kuongea nao.
 
Kwa maelezo hayo basi hakuna Wiseman
 
Sema I miss you JPM,not we miss you JPM,wengine hatummiss hata kidogo.chukua hiyo.
Hiyo ndio hali halisi.
 
We ni mwehu.
 
Who misses that dude? To miss that dude means missing to be poor or missing abductions and killings
 
Huna akili shenz
 
Tuna wajua humu kwenye comment wazee wa vitonga, majambazi na wezi. Haihitaji akili nyingi. Na aliwanyoosha kwelikweli Hadi mlifyata mkia. Na bado mna muda mchache Sana wakutamba maana Mungu atainua jiwe mwingine soon.
 
Kwa hiyo aliyepo ndio shujaa wako sio!!! Mbwete kweli
 

Naona hamjapata somo hatuta okolewa na mtu bora bali mfumo bora. mfumo bora ni katiba bora. Hivyo kama unapenda nchi pigania katiba bora ndiyo chanzo ya drama hizi zote. Mashujaa wanakufaga ndugu yangu mfumo unabaki. Iko siku utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…