We mkaka kwenye mwendokasi asubuhi ya leo umenimaliza

Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
Wewe si umeolewa?
 
Occupation: money maker
 
Ni mume wangu uliyemwona,,mana ndiye niliyemwandaa asbh Leo,pole
 
Hata sihangaiki kuku Pm maana najua nikikuambia ni mm hutoamini... So, no need
 
Kweli sasa nimeamini siyo upendo ila ni kunyegeka tu kunakusumbua coz ule uzi na huu vinaelezea fika kuwa lile tatizo ni la muda mrefu sana siyo laleo wala la jana pole bibie.
 
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
Duh na wewe mdada una vistori vya ajabu, mara una nyege kupitiliza mara kijana wa mwendo kasi. Poleee
 
Jamani kama huko huku nipiiem basi manake nilishindwa hat kuongea ulivyonipa shock...

Ulivaa shati la dark blue lina white stripes kwa mbaali, simu uliweka mfuko wa shati, ukapakatia begi jeusi, pembeni ulikaa na mdada light skin hivi.

Tulikuwa wote kwenye mwendokasi asubuhi hii ya kutoka Kimara - Gerezani mida ya saa mbili.. imefika Gerezani saa 08:52.

Please kama upo humu nipieem tu nikusalimie manake mmmh, kila nikifunga jicho nakuona..
We malay.a sana aisee
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom