Mfalme_wa_Nyika JF-Expert Member Joined May 24, 2023 Posts 683 Reaction score 1,581 Aug 16, 2025 #1 Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani... Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani... Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,954 Reaction score 80,256 Aug 16, 2025 #2 Vipi kakuchoma nacho? Au kimeingia kwenye shimo la uume!!!
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Aug 16, 2025 #4 Lissu akitoka mahakamani afanye ishu nyingine tu
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,380 Aug 16, 2025 #5 Wasiwasi Wako Tu....Embu Nipasie Mawasiliano Yake Kama Hutojali..Nilithibishe Hilo Usemalo..