Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Mwambie huyo mpumbavu hafai kuwa mwanamkeMwambie mwanaume yoote lakinii sio kumfadhahisha sababu ya maumbile yake, ni dharau kubwa mnooo.
Kama yupo humu unafikiri anajisikiaje sasa!!! Je akipata mwingine unadhani atakuwa na uwezo kama kawaida???! Hapa ndo naamini wanaume wengi wanakosa nguvu za kiuume sababu ya midomo yetu!!!!!
Mwanaume akulale siku zoote husemi umemchoka ndo waanza kejeli, sio vizuri bwana. We umemchoka chukua hamsini zako tu, wanaume mjifunze sasa sii kila muonacho chang'aa ni dhahabu, vingine ni chupa na yaweza kukukata!!!!