Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
Wanajamvi,

Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumtafuta, na kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao hayo ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hata hivyo, lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi ya kuelekea huko.

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo, ukiuliza ama kuhoji, basi unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo, unayeshirikiana na mebeberu nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa katiba na sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi!

Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa! Sababu kubwa haswa ni kuminywa kwa uhuru wao, na pia kujichagulia viongozi wanaowataka...hata tume huru ya uchaguzi, ni kilio kinachoambatana na madai hayo ya wananchi walio wengi! Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha utawala wa katiba, haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi wa Taifa letu pendwa!

...Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya kutoka kwa wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Kiongozi ambaye atasikiliza vilio vya wananchi kuhusu utawala unaofuata sheria na katiba, pamoja na matamanio ya kupata tume huru ya uchaguzi.

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, si wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya wenzetu, na si vurugu mechi!

Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama! Lakini hali iliyopo ni ya tofauti kabisa! Ubaguzi na upendeleo kwa baadhi ya wananchi kulingana na mitazamo ya kisiasa ni kinyume cha katiba ya nchi!

Endapo “law, order and constitutional rights”, itakuwa ndiyo one of the main agendas za Taifa na wananchi walio wengi kwenye uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”

“In matters of truth and justice, there is no difference between large and small problems, for issues concerning the treatment of people are all the same”.

Albert Einstein
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa
Kumbuka Lowassa ndiye aliwatuliza mori kipindi kile!😀 Lasivyo wananchi walikuwa wanaingia mtaani.
 
Wanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!

Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchsasa i na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!

Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
sasa hivi nakuambia kila hakimu anataka hela hiyo haki itatoka wapi wengine ukiwanyima unapewa adhabu ya kupigwa viboko, ili akiappeal na kishinda tayari kakuadhibu
 
Wanajamvi,
Mara zote mataifa ya wenzetu, hata yale wafadhili mfano wachina na wamarekani, huwa wanatafuta rais ambaye yuko vizuri kwenye hitaji lao kuu la Taifa ambalo wananchi walio wengi wanakubaliana na lengo hilo na hivyo kumpata kiongozi atakayewafikisha kwenye malengo yao ya kitaifa.

Ni kweli tunahitaji sana viwanda ili tuweze kuwa na uchumi wa kati. Sera ambayo Rais aliyepo, ndugu Maghufuli, aliinadi kwa kupitia chama chake ccm. Hadi sasa hivi sioni tukielekea huko. Hatahivyo lengo kama sikosei ni kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo 2025! Miaka chini ya sita kutoka sasa! Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...

Kwa hali ilivyo ambapo ni vigumu kuhoji na hata kupata ripoti sahihi za wapi tumefikia kwenye agenda yetu hiyo! Ukiuliza, unaweza kuitwa msaliti au siyo mzalendo nk.

Lakini wananchi walio wengi, malalamiko yaliyopo ni kuhusu ukiukwaji wa wazi wazi kabisa wa sheria za nchi pamoja na haki zinazowalinda wananchi! Hakuna kipindi ambacho watanzania wamelilia utawala wa kisheria na mara nyingi katiba mpya kama ilivyo sasa. Matamanio hayo, yanaweza kuwafanya wakataka kuwa na rais ambaye atarudisha haki na sheria, kuwa nguzo kuu inapokuja kwenye uongozi. Kwamba anaweza kusimamia tukapata katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi na siyo katiba ya mtu mmoja ambaye anakuwa hahojiwi lolote mahali popote na yoyote yule! Ni kama Mungu mtu kabisa!

Hata mikataba mingi tunaingia hovyo hovyo na kuivunja hovyo hovyo, imesababishwa na hayo! Hakuna mfumo wa accountability ama uwajibikaji! jambo ambalo limetusababishia hasara kubwa chini ya tawala za ccm haswa uongozi huu uliopo.

Kuiweka kando kwanza idea ya viwanda, ni wazo la busara, tujipange, wenzetu ndivyo walivyofanya na si vurugu mechi! Ni muhimu ili nchi inyooshwe inavyotakiwa, ili tuweze kupata viongozi ambao watawajibika kwa wananchi waliomchaguwa na si vinginevyo!

Kwa namna ambavyo ccm imetuingiza ama imeliingizia Taifa hasara kubwa na hivyo kuendelea kuwa masikini, ni wazi kwamba ufisadi mkubwa uliokubuhu, chanzo chake ni mazoea ya kutokuwa watu wenye kufuata sheria za nchi kwasababu ya katiba mbovu inayomlinda mwenyekiti wa chama cha mafisadi ambapo anatokea kuwa na majukumu ya kuongoza wananchi wake wote bila ubaguzi wowote hata ule wa vyama!

Endapo “law and order” itakuwa ndiyo one of the main agendas uchaguzi ujao, basi honorary Lissu “is a good fit”
We need lissu so much than any time

bonge la pointi mkuu na hapo anayetufaa si mwingine ni Tundu Lissu hata ikiwa 2030 bad ni tundu Lissu anayetufaa ili taifa lisonge mbele
 
Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka mmeanza kulijenga hilo taifa lenu mmeshafikia wapi mpaka sasa .
 
approach ya jiwe ni ya kishamba mno anachanganya kutawala nchi na maamuzi ya nyumbani kwake .hakujiandaa kabisa na hajui matokeo ya tamko moja la kishamba bila maandalizi linavyoweza athiri na kuleta hasara kubwa.kwa mfano tu tamko kuhusu korosho limemuathiri hata yeye mwenyewe alipodhani atapata sifa binafsi.
 
Utawala wa hovyo kuwahi kutokea Tz.
 
Kama mtu kama wewe asubuhi hadi jioni unalialia mtandaoni, wale wajinga flani wanwazamaandamano, kuvunja sheria,na kukesha majukwaani wakigomesha wananchi na kuacha kufanya kazi za kujenga taifa,lini tutafikia uchumi wakati. Mabosi wangu jitahidini kuacha siasa muda huu wa kazi hadi 2020 tutakapokuwa kwenye ngwe ingine kumtafuta rais mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata issue iliyompata Lissu ni kwasababu ya kumkosoa mh rais, kutokufuata sheria hata mikataba wanayosaini hawaifuati.

Kiongozi atakayeweza kurudisha utawala wa haki sheria na kufuata katiba, ndiye anayeweza kutuondoa kwenye hilo shimo ccm walilotuchimbia.
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa

Wakati si milele na historia sio msahafu!! Walikuwepo marais wa maisha kama akina Kamuzu Banda lkn sanduku la kura lilibadilisha asubuhi yake na hakuamini macho yake!! Hata Yahya Jammeh pamoja na kujaza ndugu wengi kwenye tume bado majira hayakuwa upande wake!
 
Kiuhalisia, sidhani hata kama tumeshaweka hata misingi...

Waliomtangulia walishaanza kuiweka misingi hiyo; yeye amekuja, anaanza upya kuweka misingi yake!

Inatakiwa aanze kutangaza mwaka mwingine aliolenga yeye kuyafikia malengo anayopanga yatatufikisha kwenye uchumi huo wa Kati. Hiyo mipango iliyowekwa na wenzake haiwezekani tena kutufikisha huko.

Ngoja nikuulize swali moja tu: hivi ungemwambia Dangote leo hii aje awekeze kile kiwanda, atakubali kwa hali ilivyo sasa?
Sitetei mipango ya chinichini kama ilikuwepo wakati anakaribishwa; lakini hata ungempa mipango hiyo kwa mazingira yalivyo sasa, sina hakika kama angekubali.
 
Hakuna lolote linaloonyesha mwelekeo mzuri. Kwasababu nchi haiendeshwi kwa mipango bali utashi binafsi wa mtu au watu wawili watata.

Kwanza alitakiwa kwenye awamu ya kwanza, atangaze master plan! Awamu yake iwe ya kuweka misingi kama haikuwepo! Kama ilikuwepo hapo kabla hajaingia madarakani, then huo ni udhaifu mwingine mkubwa wa chama cha mapinduzi!

Viwanda pia vinahitaji uwekezaji, lakini yeye sidhani kama anafahamu vyema namna ya kudeal na tatizo hilo! Na ndiyo maana baada ya kuwa discourage investors, amerudi kuwakumbatia tena wale waliotuingiza hasara kubwa! Yote kwasababu lengo pengine ni kurudi tu madarakani kuliko nia ama malengo ya kutufikisha kwneye Neema!

Tunatakiwa tuwe na rais atakayemaintain law and order, ili uwajibikaji uwepo na watu waache ufisadi ambao kwangu mimi ndo usaliti mkubwa wa Taifa hili!

Kiasi cha pesa ambazo ccm wameshatafuna toka uhuru, kama kingeelekezwa ki mpango kwa maslahi ya wananchi na Taifa, basi leo hii hata wahisani tusingewahitaji!

Kwahiyo kwa maoni, we need to begin there, with a president who will restore law and order type of leadership.
 
mtu anayetegemea kura za wananchi hawezi kula hela za tetemeko , anajua hata akitukana wahanga hamtamfanya kitu
Kula pesa za rambi rambi ni laana kabisa! Haijalishi hata kama ulienda kutoa sadaka.
 
bonge la pointi mkuu na hapo anayetufaa si mwingine ni Tundu Lissu hata ikiwa 2030 bad ni tundu Lissu anayetufaa ili taifa lisonge mbele
Nakubaliana na hoja kabisa!

Baada ya kumsikiliza Dr Waitamwa, ndipo nikaja na hili wazo! Inawezekana ni wengi wanaoona tatizo letu ni “absence of law and order”. Ndiyo maana mkuu wa mkoa anafanya mambo yanayoichafua taswira ya nchi, Mfano kuvamia studio za clouds, kuweka watu ndani kwa tuhuma za uongo za madawa ya kulevya! Tuhuma za utekaji, lakini eti anaambiwa chapa kazi!

Certainly kwenye Taifa lenye kufuata utawala wa kisheria na uwepo wa law and order, basi hayo yasingewezekana! Uwajibikaji ungekuwepo, Nape angekuwepo kazini, Ben Saanane pengine tungekuwa naye hapa! Lissu hasingehitaji upasuaji sujui mara ishirini na kuyabadilisja maisha yake moja kwa moja!
 
Back
Top Bottom