Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Ok, sikujuwa unazungumzia upande wa ccm.
Hahaha yeye keshajichagua, na anaamini kapita bila kupingwa. Tume yake, mwigulu wake, siro wake, AG wake , Mabeyo wake, who else are you thinking is going to win?!
Sasa wanafanya mipango wapite bila kupingwa wote hadi wabunge iwe kama serikali za mitaa.
 
Duh! Ila ukimya wao umewaponza sana. Wananchi wameshazoea na kuona ukatili ni kitu cha kawaida!

CCM ndiyo imewafanya wananchi waone kuwa umasikini na unyonge ndo utanzania halisi.
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa
Linaweza kutokea jambo baya sana mwaka huu. Watu wamechoka na wameumizwa sana na hali hii
 
Ni wazi tuko transitional period ya kuelekea chama kimmoja. Sioni kama miaka mitano ijayo serikali hii ya CCM kama itakuwa na muda wa law and order wala kufufua katiba ya Warioba.
Kwa sababu lengo lao ni njia ya kufanana na Russia ya Putin au kulingana na sera za Maduro wa Venezuela.
Pammoja na serikali kutoka njia kuu ya utawala tuliouzoea tokea Mzee Ruksa, Mkapa na Kikwete,kosa kubwa ni chama kutozingatia utu na upendo kwa wananchi wake.
Wanapochagua viongozi wao waache busara zitawale vichwa vyao.Siyo muda wa kupandisha mizuka kama Lugola au Kessy.
 
pole mkuu its too little too late subiri tena five years hadi Ngosha akapumzike Chato!! mbona utakufa na presha five years utabaki kijiti kwa hasira sababu yajayo yanafurahisha!!
 
Why do you think it is too little too late to have a nation that is governed by law and order?
 
Ni wazi tuko transitional period ya kuelekea chama kimmoja. Sioni kama miaka mitano ijayo serikali hii ya CCM kama itakuwa na muda wa law and order wala kufufua katiba ya Warioba.
Kwa sababu lengo lao ni njia ya kufanana na Russia ya Putin au kulingana na sera za Maduro wa Venezuela.
Pammoja na serikali kutoka njia kuu ya utawala tuliouzoea tokea Mzee Ruksa, Mkapa na Kikwete,kosa kubwa ni chama kutozingatia utu na upendo kwa wananchi wake.
Wanapochagua viongozi wao waache busara zitawale vichwa vyao.Siyo muda wa kupandisha mizuka kama Lugola au Kessy.
Maneno kuntu kabisa!👍🏽👊🏾
 
Linaweza kutokea jambo baya sana mwaka huu. Watu wamechoka na wameumizwa sana na hali hii
Hili pia nakubaliana nalo kabisa. Haswa endapo watamfanyia figisu mgombea wa upinzani. CCM imezoea kubebwa na dola, hilo hawawezi kuacha. Kuzuia siasa iliharibu zaidi, kwasababu wananchi hawakuwa na mahali pa kutolea “frustrations” zao.
 
Why do you think it is too little too late to have a nation that is governed by law and order?
nchi yetu ni maskini sana na ina watu wajinga wengi na wasio na elimu ya uraia ni mamilioni , raia wengi wako nyuma katika maendeleo ya kifikra na wanahangaika kupata japo mlo mmoja kwa siku bila msaada wa serikali walioiweka madarakani kuwasaidia, angalia ushahidi wa matumbo tu ya viongozi na raia yapi matumbo makubwa hadi vifungo vya shati havifungi?!

na ukweli nchi hii iko nyuma sana katika human civilization (siasa na uchumi) hivyo viongozi wake ni wajinga wengi hufanya watakayo kwa raia na raia wajinga ni wengi nao hukubali kufanyiwa wafanyiwayo!!

level kubwa ya ufahamu wa kutenda haki kwa raia kwa viongozi hatujafikia na level ya raia kupambana kulinda haki zao nayo bado sana!!!baadhi ya viongozi wa umma wako level ya Zinjanthropus a stone tool user!!

nadhani kama unaweza kupitia zile stages of evolution of man utaweza kuelewa kama nikisema wengine bado tuko pale stage ya homo eractus!! hatujafikia ukamilifu wa binadamu sababu Mkuu wa mkoa alitoa bastola bila hofu wala aibu akaua raia asie na hatia mbele ya kadamnasi sasa hiyo haijawahi kuwa akili ya binadamu bali ni akili za level ya nyani , huwezi kusema sisi tumefikia ustaarabu kama wazungu!! shame on us!!

kwahiyo rule of law will start to take effect in bongo in thirty years from now after the deaths of all remnants of colonial rules!! mkuu umeelewa? viongozi wetu wote walio na elimu na makuzi ya kikoloni hivi sasa ndio policy makers na wamezeeka na hopefully all of them will have died in 30 to 40 years hapo sasa utapata viongozi wa umma ambao ni fresh people with fresh ideas ambao hawakuchapwa kiboko na mkoloni kuwapa hasira ya wao nao kuchapa viboko ndugu zao weusi kama ilivyo sasa!!
 
Rais wa sasa kafanya kazi kubwa ya kurestore law and order.

Zile vurugu tulizozoea zimepungua kwa viwango vya kuridhisha.
 
nchi yetu ni maskini sana na ina watu wajinga wengi na wasio na elimu ya uraia ni mamilioni , raia wengi wako nyuma katika maendeleo ya kifikra na wanahangaika kupata japo mlo mmoja kwa siku bila msaada wa serikali walioiweka madarakani kuwasaidia

na ukweli nchi hii iko nyuma sana katika human civilization (siasa na uchumi) hivyo viongozi wake ni wajinga wengi hufanya watakayo kwa raia na raia wajinga ni wengi nao hukubali kufanyiwa wafanyiwayo!!

level kubwa ya ufahamu wa kutenda haki kwa raia kwa viongozi hatujafikia na level ya raia kupambana kulinda haki zao nayo bado sana!!!baadhi ya viongozi wa umma wako level ya Zinjanthropus a stone tool user!!

nadhani kama unaweza kupitia zile stages of evolution of man utaweza kuelewa kama nikisema wengine bado tuko pale stage ya homo eractus!! hatujafikia ukamilifu wa binadamu sababu Mkuu wa mkoa alitoa bastola bila hofu wala aibu akaua raia asie na hatia mbele ya kadamnasi sasa hiyo haijawahi kuwa akili ya binadamu bali ni akili za level ya nyani , huwezi kusema sisi tumefikia ustaarabu kama wazungu!! shame on us!!

kwahiyo rule of law will start to take effect in bongo in thirty years from now after the deaths of all remnants of colonial rules!! mkuu umeelewa? viongozi wetu wote walio na elimu na makuzi ya kikoloni hivi sasa ndio policy makers na wamezeeka na hopefully all of them will have died in 30 to 40 years hapo sasa utapata viongozi wa umma ambao ni fresh people with fresh ideas ambao hawakuchapwa kiboko na mkoloni kuwapa hasira ya wao nao kuchapa viboko ndugu zao weusi kama ilivyo sasa!!
Nakufanyia mpya
 
Back
Top Bottom