Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa
“We must maintain law and order at the highest level or we will cease to have a country”-Donald J Trump
 
In matters of truth and justice, there is no difference between large and small problems, for issues concerning the treatment of people are all the same.
Albert Einstein
 
Kizuri kitajiuza tu mwenyewe waendeleze kelele kwa kujinadi mbele ya makamera ta matv zote, ila bado Lissu ni credibility kubwa
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,
Tujiandae tu kisaikolojia mkuu
Asiposhinda atashindishwa
Akishinda atatangazwa tu hamna namna! Kama unafahamu japo vitu vichache vya msingi kuhusu takwimu utakuwa unajua kuwa ushindi ni wa zaidi sana ya 80% na kwamba chini ya hapo, ndiyo kusema Chadema watahesabu kuwa wameshinda. Siyo vinginevyo
 
Kuna watu mna akili sana, upinzani inayo hazina ya hekima na mawazo bora kabisa.
Ila hapo mwishoni ulipotia kampeni ndiyo umeharibu.
Ila nakiunga mkono ulichokisema tukimpata mtu mwenye "law and order" conduct atatusaidia sana
1. kuvunja wizi wa kimikataba
2. Kutengeneza mahusiano mazuri na ulimwengu
3. Kuunda katiba ya watu wanavyotaka kuongozwa
Ujinga mwingi utapungua.
Hongera sana kwa mawazo mazuri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said! Lakini si lazima uweke conclusion ama? Sijaweka kiushabiki. Ni wao tu, subjected to a discussion.
 
Tangu aingie madarakani alipiga marufuku shughuli zote za kisiasa kwa vyama vya upinzani, amezuia bunge kuoneshwa ni nini alichofanikisha kwa 100%?

Ni kukosa uelewa.
 
Hakuna mwekezaji makini anayeweza kuja kuwekeza Tanzania kwa sasa kwa sababu nchi haikidhi vigezo vya kuwa friendly for investments. Kinachotokea ni kuwa wale wawekezaji makini wanaondoka Tanzania kimya kimya na kwa mwendo mkali.

Madhara ambayo imesababisha serikali ya awamu ya tano kwenye uwekezaji, inaweza kuchukua zaidi ya miaka 10 kuondoka kabisa hata kama leo hii tukibadilisha serikali.
 
Mkuu Los técnicos , Je kuna uwezekano wa kumpata kiongozi atakeye restore law and order kutoka ccm?

Mimi nadhani mle tayari kuna “too much conflicts of interests”. Hata chini ya Maghufuli imeonekana wazi. Hakuna ndani ya ccm anayeweza kututoa kwenye shimo walilochimba wao wenyewe.

“The same mindset that created the problem can never solve it”!
 
Kuna Watanzania wamegeuka kama waumini na watawala kama mapasta. kila wanachoambiawa imekuwa kama andiko takatifu. focus yao ni kwa mtu! ajabu kabisa. wanageuzwageuzwa kama ugali jikoni.
suluhisho ni hilo la "law and order". ni lazima tujitawale kupitia utaratibu tuliojiwekea na sio anaotuwekea mtu na baadae tunamsifu kwa mapimbio kama vile parapanda la mwisho linakuja leo.Watu wanatega masikio na kukodoa machao kujua nani anabisha "ajifanye kama anajikuna" kutishia nyau kumezidi tunataka law and oreder hawa maakida, maliwali na jumbe sawa na wa mjerumani wametuchosha!
 
Well said! Nashukuru kwa kuelewa vyema kabisa! Stay blessed!
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa
Wewe umeshajiandaa?
 
Haya, muda umekaribia.
 
Hahaha law na order zipi, Magufuli kesha weka kuanzia ccm hakuna mtu kutia nia ya kugombea urais ccm bara bali yeye, hii tu ni law and order.
 
Hahaha law na order zipi, Magufuli kesha weka kuanzia ccm hakuna mtu kutia nia ya kugombea urais ccm bara bali yeye, hii tu ni law and order.
Sasa uchaguzi wa kazi gani?
 
Mambo yamekuwa hovyo sana siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…