MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
kwahio na wewe umekaa ukaamini ni kapten kwel"One wake atakayewazuia Watanzania kuandamana."
Captain Tesha.
😂 😂 we mzee acha kuhangaika, siasa kazi yake kukupeleka kule kukurudisha uku, hutakaa uelewe siasa
Umeshafika Kenya?😂 😂 we mzee acha kuhangaika, siasa kazi yake kukupeleka kule kukurudisha uku, hutakaa uelewe siasa
unataka kusemajeUmeshafika Kenya?
Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi.
Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha kuwasikiliza Wananchi na sisi wenye masikio marefu.
Tarehe 29, Polisi na Askari wa JWTZ hawatatii amri yako Samia, na wanachi watavunja ofisi za Serikali na kushusha vipigo kwa Viongozi waovu,
Samia kama Rais wetu jitoe haraka.
Mna utoto mwingi sana. Na baada ya uchaguzi mrudi hapa tena na ushabiki wenu
Kahaba kamwe awezi kusikiaSamia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi.
Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha kuwasikiliza Wananchi na sisi wenye masikio marefu.
Tarehe 29, Polisi na Askari wa JWTZ hawatatii amri yako Samia, na wanachi watavunja ofisi za Serikali na kushusha vipigo kwa Viongozi waovu,
Samia kama Rais wetu jitoe haraka.
Siyo mada ya kucheka, lakini imenilazimu nicheke jinsi ulivyo iwasilisha mkuu 'storm'!Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi.
Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha kuwasikiliza Wananchi na sisi wenye masikio marefu.
Tarehe 29, Polisi na Askari wa JWTZ hawatatii amri yako Samia, na wanachi watavunja ofisi za Serikali na kushusha vipigo kwa Viongozi waovu,
Samia kama Rais wetu jitoe haraka.
Bibi kizimkazi anazozana na mtu kwenye simu tangu saa 12 jioni. Anasikika kama qnabishana naye kuhusu kubakia ikulu ama kuondoka.
Weka "nembo halisi" uliyo nayo wewe.