We politely remind you, Samia usiendelee na Uchaguzi

Muhimu wakamatwe wafikishwe mahakamani kama vibaka wengine na lile basi la magereza wakiwa wamefungwa pingu pamoja.

Wakikutwa na hatia na hatia wapewe hukumu stahiki jela maisha au kunyongwa hadi kufa ili iwe mfano kwa vizazi vijavyo pamoja na kutaifisha mali zote za wizi na kurudishwa kwa wananchi.
 
Ni bora ikawa hivyo tu kama hiyo ndio njia ya ukombozi kwa mara ya pili.Mungu wabariki wazalendo wote katika taifa hili.
 
Kama ana busara aachana na uchaguzi huu. Goma ndo lishawaka hili.
 
Nchi ya kwanza
Sio mimi, ni CAPTAIN TESHA.

Usinisingizie.

Pambaneni na hali zenyu.
Yes, wenye kampeni zao wanaendelea kama kawa sijui nyie wanaopambana na captain Tesha. Mkimaliza huko msisahau kumrudisha tena Slowslow na Gwajiboy mana tumewamis sasa
 
Vikao vinaendelea huko ,wamtoe au wamuweke chini ya uangalizi .

Mama wa watu haamini anachokutana nacho , alitegemea aliyowategemea lakini design anaona kama nao wanaelekea kuwa siyo msaada hivi .

Kunasaa huwa nahisi huu mpango uko under programed na KiK"wete , jamaa anausanii wake wachinichini sana yule .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…