We Warned You, Objective Football sio Kocha


That is very true brother upo sahihi sana

Naanza kuamini Injinia anakitu cha kipekee
 
Kibu alikuwa kashika hirizi ya timu. Alivyotoka yeye Simba wakapoteana
Sio hirizi, Kibu ndo mchezaji pekee aliekamilika pale Simba. Fitness level ipo juu, ana shoot, ana dribble, anakaba, na ana energy ya kutosha. Hakuna mchezaji wa kufanana nae pale Simba kwaiyo akitoka lazima pengo lionekane.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkubali mtakuwa na wiki chafu😂😂😂
 
Wanasimba tuanze kurudisha kadi hadi kocha atimuliwe
 
Kama kwenye timu yako unatemtegemea mchezaji kama kibu ili upate matokeo basi hauna timu hapo,ni sawa sawa na kuwa mtu wa kwanza kwenye darasa la Vilaza.
 
Yana waza tuu utopolo yani....
 
Shame to BOARD,, ROBERTINO weakness zilionekana miezi mingi sana..

-fianali ya ngao ya hisani TANGA, mwanzo mwisho very poor to simba
- Kufuzu champions LEAGUE kwa manusura
-Ufunguzi wa African league tumechezewa ma AL AHLY kinyonge mbele ya viongozi wakubwa, saidia tu papatu za magoli ya headers
  • simba haichezi soka inayoeleweka
  • timu wachezaji haina nguvu
  • line up za mechi simba , huelewi ROBERTINO. Vipi MANULA asiye na match fitness aanze
-simba inafungwa 5, sio wala kubahatisha uwezo;wa YANGA umeeonekana. Sikumbuki clear chances za simba ukiacha goal la KIBU na shuti la BALEKE
- subirini, championship league, hata robo sijui.

Shame to BOARD OF SIMBA
 

Mimi nadhan wajifunze kwa injinia

Haya mambo ya kuwekeza mitandaoni inawalostisha
 

Ngoja wapigwe maana watu wanaambiwa hawasikii. Piga kabisa.
 
Sahihi kabisa.
 
Nakuheshimu mtani ila.ongea ki mpira...Kibu ndo anaecheza vzr kwa sasa...hakutakiwa kutoka...
Au tubadili shilingi iwe ni nyie mmenloga kocha akafanya maamuzi mabaya?.
Kibu hakutolewa kwa kupenda, Bali aliumia, so huwezi kumlaumu Kocha.

Na unaposema Kibu ndio mchezaji anayecheza vizuri kwasasa, ni sawa na kusema yeye ndio tegemeo kwenye timu kwa wakati huu. Hii kauli inakinzana na kauli zenu mnazosemaga kuwa kikosi chenu kipo imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…