Uyo injinia hana maajabu yeyote ni vile tu sio mrafi anasimamia mali ya tajiri yake kwa uaminifu tu, pale Simba kumejaa matapeli tu kuanzia kwa Try Again uyu ni tapeli ameshindwa kusimamia timu yeye ni kugawa wachezaji na kuchukua ten parcent kwenye usajili na mishahala ya wachezaji.
Mangungu uyo ni tapeli la kisiasa yeye yupo hapo ili kuvuna pesa na kutengeneza mazingira yake ili arudi kwenye ubunge.
Wajumbe wengine kama Asha Baraka uyu akili zote zipo kwenye kuutafuta ubunge kwa mgongo wa Simba hana msaada wowote.
Raphael chegeni nae the same na Asha Baraka macho yake kwenye ubunge pale Simba ni kituo cha kuongeza umaarufu tu.
MO, uyu anajulikana ni muongo muongo tu, japo ameifikisha Simba sehemu angekuwa serious Simba ingekuwa mbali zaidi, ila kwa tabia za wahindi kujipendekeza kwa wanasiasa na ujanja ujanja Simba itachelewa kufika mbali zaidi.
CEO uyu wa sasa hapo Simba anajitaidi ila amekuwa na project nyingi ambazo hazieleweki hivyo anashindwa kuisimamia timu ipasavyo! Simba itakuwa ngumu kupata mafanikio makubwa mbele ya yanga kwasababu imejaa wajuaji, wanasiasa na matapeli, ukichangia na ujanja ujanja wa muekezaji safari bado ndefu,
Muekezaji kama ana nia ya dhati atafute kijana yeyote ambae hana makandokando mengi kwenye kampuni zake apambane ampe uenyekiti wa club amkabidhi mikoba,awe chini ya usimamizi wake,aachane na matapeli haya ya akina try again na apunguze uoga wa kuogopa wanasiasa,maana ndio udhaifu wake na wakina mangungu na try Again wameshagundua huo udhaifu wanautumia kufanya utapeli wa pesa za muekezaji.