We Warned You, Objective Football sio Kocha

Nakuheshimu mtani ila.ongea ki mpira...Kibu ndo anaecheza vzr kwa sasa...hakutakiwa kutoka...
Au tubadili shilingi iwe ni nyie mmenloga kocha akafanya maamuzi mabaya?.
Si alipata injury ndo mana akamtoa
 
That is very true brother upo sahihi sana

Naanza kuamini Injinia anakitu cha kipekee
Uyo injinia hana maajabu yeyote ni vile tu sio mrafi anasimamia mali ya tajiri yake kwa uaminifu tu, pale Simba kumejaa matapeli tu kuanzia kwa Try Again uyu ni tapeli ameshindwa kusimamia timu yeye ni kugawa wachezaji na kuchukua ten parcent kwenye usajili na mishahala ya wachezaji.

Mangungu uyo ni tapeli la kisiasa yeye yupo hapo ili kuvuna pesa na kutengeneza mazingira yake ili arudi kwenye ubunge.

Wajumbe wengine kama Asha Baraka uyu akili zote zipo kwenye kuutafuta ubunge kwa mgongo wa Simba hana msaada wowote.

Raphael chegeni nae the same na Asha Baraka macho yake kwenye ubunge pale Simba ni kituo cha kuongeza umaarufu tu.

MO, uyu anajulikana ni muongo muongo tu, japo ameifikisha Simba sehemu angekuwa serious Simba ingekuwa mbali zaidi, ila kwa tabia za wahindi kujipendekeza kwa wanasiasa na ujanja ujanja Simba itachelewa kufika mbali zaidi.
CEO uyu wa sasa hapo Simba anajitaidi ila amekuwa na project nyingi ambazo hazieleweki hivyo anashindwa kuisimamia timu ipasavyo! Simba itakuwa ngumu kupata mafanikio makubwa mbele ya yanga kwasababu imejaa wajuaji, wanasiasa na matapeli, ukichangia na ujanja ujanja wa muekezaji safari bado ndefu,

Muekezaji kama ana nia ya dhati atafute kijana yeyote ambae hana makandokando mengi kwenye kampuni zake apambane ampe uenyekiti wa club amkabidhi mikoba,awe chini ya usimamizi wake,aachane na matapeli haya ya akina try again na apunguze uoga wa kuogopa wanasiasa,maana ndio udhaifu wake na wakina mangungu na try Again wameshagundua huo udhaifu wanautumia kufanya utapeli wa pesa za muekezaji.
 
Mimi hapa ni kijana wa miaka 35. Mkinipa SIMBA, nitaibadili. Mfano mpaka sasa usajili wa Simba ni kupitia YouTube .10% na takataka nyingine ni nyingi. Kwa mfano ni kweli SSC imekosa replacement ya chama nchi Africa nzima? Mpaka kwenda kumrudisha?

Je mikison amerudi , kuja kufanya nini? Na usikute analipwa hela ndefu kuliko wote

M Hussein , hivi Africa nzima hatuna mchezaji bora wa ku replace Hussein? Manula, bado tunahitaji kufika nusu fainali na Manula?

Ni kwamba SSC haina Objectivity na kuna namna klabu haipp serious . Ni kama Genge la wahuni fulan hivi walioamua kumanipulate watu kupitia mitandao na kwa kumtumia yule kichaa wao anaeongea kama muimba taarabu akiamini mpira ni social media

SSC siku zote inabahatisha na kocha siku zote amekuwa ni mtu wa excuses. Ukiona mtu anatoa sana excuses in Life , jua huyo mtu ni msanii…… kocha wa SSC ni msanii… jana anasema moja ya sababu kufungwa ni kuumia Kibu, na goli la pili ni refa alipaswa kutoa fauli…… Halaf kocha kama huyu ndio mfike nusu fainali….. mnakichaa au

Objective football my **as.
Yanga soon inaenda ku stabilize kwenye Anga la kimataifa, na hakika ipo siku very soon Yanga atacheza nusu fainali klabu bingwa. For 5 years mnaishia robo fainali , hakuna growth ….. mmekuwa washiriki tu

Yanga atatoa huu mwiko
Nyie endeleeni kuimba taarabu na objective football
 
Back
Top Bottom