Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kichwa cha habari ni Cha kiswahili,habari ni ya kiingereza. Kama hujajipanga kuleta habari so uache tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Domains zote zilizosajiliwa kwa majina yanayoishia na .com, .net, .org n.k. zimesajiliwa Marekani kwa mujibu wa sheria.Hivi hawa jamaa wanawezaje kufunga Domain isionekane dunia nzima??..Wataalam wa IT tuambieni.
Utabashiwa ww [emoji24][emoji24]Inawezekana tu, kama mwanangu nae ni basha
Utabashiwa ww [emoji24][emoji24]
Unavaa kata k mtaa wa mabasha watakugombea dogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Basha haogopi kubashiwa , maana hayo mambo ya kubashia ndio tabia yakeUtabashiwa ww [emoji24][emoji24]
Unavaa kata k mtaa wa mabasha watakugombea dogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mhadithia mvua imemnyea [emoji23][emoji23]Basha haogopi kubashiwa , maana hayo mambo ya kubashia ndio tabia yake
Usikariri mdogo wangu, watu wanahadithia mpaka habari za Alexander the Great, na wala hawajamuonaMhadithia mvua imemnyea [emoji23][emoji23]
Thanks mkuu.Domains zote zilizosajiliwa kwa majina yanayoishia na .com, .net, .org n.k. zimesajiliwa Marekani kwa mujibu wa sheria.
Kampuni za usajili wa domains kama vile VeriSign nchini Marekani kwa mfano, imesajili websites zote zinazoishia na ".com". Kampuni hizi zinafuata sheria zilizowekwa na Marekani, na kwa kishirikiana na mashirika ya kisheria ya kimataifa, zina mamlaka ya kuzifungia websites ambazo zitakiuka sheria na taratibu.
1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !Marekani anafinya uhuru wa habari , haya mambo wakifanya wenzake, utamuona anavyo lalamika
Iran alikuwa dhaifu kipindi hiko maana alitoka katika mapinduzi kabla hajajipanga Iraq akaanzisha vita kwa mda wa miaka 10 ndio ikaisha, huyu Iran wa sasa yuko imara sana ndio maana kila anaetaka madaraka Israel pale lazima turufu awe Iran1995 unakumbuka Iran ilitaka kutufanya vibaraka wake? eti akipigwa na israel au marekani basi sisi nchi nzima tuandamane na kumlilia ! sasa unampendea nini huyo mpwaya pwaya !
PUMBA[emoji23][emoji23][emoji23]mheshimu mmarekani na Israelis ili upate heri na miaka mingi duniani! muulize hugo chaves wa venezuela na castro wa Cuba, Qadafi na sadam Hussein utajua nini maana ya kukaidi amri hii ya kumi na moja!