Mimi ni mshabiki wa Simba,ila nimechukua likizo kwa sasa
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Simba hawana website wala blog,wao kazi yao ni kujisifu kuwa wanauza wachezaji nje,hata usajili Rage huwa anafanyia nyumbani kwake .Yanga wana page Facebook,wana akaunti Twitter na Website
kwa lipi sasa, hapo ni ofisiniView attachment 129881
hizi timu hazichekani sana
hakuna kitu hapo bhana ni usanii tuuuuuu, bofya hapa sasa The Official Website of Young Africans Sports Club na hapa The Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa furaha, watu walio makini yani ata blogspot inawashinda @rageBofya hapa: www.simba.co.tz
nipo dilemma hapa
hakuna kitu hapo bhana ni usanii tuuuuuu, bofya hapa sasa The Official Website of Young Africans Sports Club na hapa The Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa furaha, watu walio makini yani ata blogspot inawashinda @rage
Tuko pamoja Mkuu, majamaa haya website, shule zao ndogo, wako shallow sana kwenye 'mashikolo mageni'. Mambo yako hapo juu kwa wanaume.
Wakuu habari
Naomba kuuliza hivi simba website yake ni hipi,
kwani watani naona wanayo hii hapa
The Official Website of Young Africans Sports Club plus blogs
Je simba habari zake zinawekwa wapi?
Naomba kujua ata blogsport, e-mail nataka kumsalimu rage
Simba timu ya arabuni.........