Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
huenda si vyema kuwa sehemu ya tatizo kwa kuunga mkono wa kutokua na tovuti hai hadi sasa lakn tukigeukia utani, tuliposifu Azam kuleta basi mkasema hatutaki basi tunataka ushindi, najaribu kuwaza bila sauti iwapo website ya Yanga imeleta ushindi wowote
- Badi mnafadhiliwa na TBL (hata kununua basi)
- wachezaji mnatafuta kianalojia (SIMBA)
- kOCHA Mnaulizia kwa simu au wachezaji
- Matumizi ya timu yanazidi mapato
- kuuza wachezaji ni kama ndoto (mnatumia msichozalisha and vise versa)
- .............................................