Website ya Simba Sports Club Inatia Aibu

huenda si vyema kuwa sehemu ya tatizo kwa kuunga mkono wa kutokua na tovuti hai hadi sasa lakn tukigeukia utani, tuliposifu Azam kuleta basi mkasema hatutaki basi tunataka ushindi, najaribu kuwaza bila sauti iwapo website ya Yanga imeleta ushindi wowote

  1. Badi mnafadhiliwa na TBL (hata kununua basi)
  2. wachezaji mnatafuta kianalojia (SIMBA)
  3. kOCHA Mnaulizia kwa simu au wachezaji
  4. Matumizi ya timu yanazidi mapato
  5. kuuza wachezaji ni kama ndoto (mnatumia msichozalisha and vise versa)
  6. .............................................
 
hili kwangu sina ubishi nalo kabisa
  1. Ningependa pia kupata taarifa za uhakika kutoka kwa tovuti ya timu yangu
  2. Klabu kongwe kama hii kuendeshwa kianalojia ni kadhia kubwa
  3. Ningependa timu na wachezaji kupata publicity na exposure kubwa
  4. hata electronic messages ni kichefuchefu tu, eti --------- kikosi cha timu wakati mpira umeshaisha
  5. hata uendeshaji wa mikutano ni ubabaishaji tu wa Aden Rage
  6. usajili wa timu kwa kuangali mchezaji kwenye mechi moja na hii ilitugharimu sana kwa akina Shiboli, Echesa, Ochieng, Keita, Akufo, Gervas Kago, Kinje, Ntalla na wengineo (kama nimewasahu wataje tu)
  7. klabu inaendeshwa kama chama cha siasa haiwezekani
  8. lazima tukubali kuendana na wakati
 
Hapo ni ofisini ,although sio ofisi ya klabu.Pamoja na matatizo ya Yanga suala la transparency na idara ya information wako vizuri
Tofauti na Rage ambaye usajili anaufanyia nyumbani kwake.Yanga ndio klabu pekee Tanzania ambao wanatoa hesabu za fedha za mwaka tena public.Wakati Rage hata kwenye mkutano mkuu hataki kuwakilisha

hizo bold zote zina hoja

  1. Kwa nini isiwe Klabuni?Kwa hoyo hiyo idara ni private entity?
  2. kama ni transparency ya kuita waandishi hata Rage alifanya hivyo
  3. una kadi namba ngapi ? mkutano uliopita alisoma hesabu za fedha tena kupitia wakaguzi wa hesabu
 
hili kwangu sina ubishi nalo kabisa
  1. Ningependa pia kupata taarifa za uhakika kutoka kwa tovuti ya timu yangu
  2. Klabu kongwe kama hii kuendeshwa kianalojia ni kadhia kubwa
  3. Ningependa timu na wachezaji kupata publicity na exposure kubwa
  4. hata electronic messages ni kichefuchefu tu, eti --------- kikosi cha timu wakati mpira umeshaisha
  5. hata uendeshaji wa mikutano ni ubabaishaji tu wa Aden Rage
  6. usajili wa timu kwa kuangali mchezaji kwenye mechi moja na hii ilitugharimu sana kwa akina Shiboli, Echesa, Ochieng, Keita, Akufo, Gervas Kago, Kinje, Ntalla na wengineo (kama nimewasahu wataje tu)
  7. klabu inaendeshwa kama chama cha siasa haiwezekani
  8. lazima tukubali kuendana na wakati

Mkuu Amavubi huwa unanipa taabu sana kukuweka katika kundi la 'wabishi' au la, hapa umeandika kiuanamichezo hasa na kuweka pembeni unazi wako kwa Simba. Hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
hizo bold zote zina hoja
[/COLOR]
  1. Kwa nini isiwe Klabuni?Kwa hoyo hiyo idara ni private entity?
  2. kama ni transparency ya kuita waandishi hata Rage alifanya hivyo
  3. una kadi namba ngapi ? mkutano uliopita alisoma hesabu za fedha tena kupitia wakaguzi wa hesabu
[/B]

1.Huo usajili wa Twite ulifanyika Rwanda,Bin Kleb ni mjumbe kamati ya usajili Yanga na ana ofisi yake huko ndio alimsajili hapo baada ya Rage kupiga picha na Twite hotelini
Rage aliwasajili wachezaji nyumbani kwake hapa Dar ambapo kuna ofisi za klabu ya Simba

2.Transparent lazima kuwe na flow of information kuanzia kwa Mwenyekiti hadi kwa wanachama.Rage alisema Kibaden bado ni kocha wa Simba,while wengine wameleta kocha mwingine na kashasign contract.Wanachama wasikilize maneno ya nani hapo?

3.Wewe mwenye kadi hebu tuambie matumizi ya fedha walizouzwa kina Samata,Ochan na Okwi kwenye hizo hesabu za fedha alizowasilisha
 
huenda si vyema kuwa sehemu ya tatizo kwa kuunga mkono wa kutokua na tovuti hai hadi sasa lakn tukigeukia utani, tuliposifu Azam kuleta basi mkasema hatutaki basi tunataka ushindi, najaribu kuwaza bila sauti iwapo website ya Yanga imeleta ushindi wowote

  1. Badi mnafadhiliwa na TBL (hata kununua basi)
  2. wachezaji mnatafuta kianalojia (SIMBA)
  3. kOCHA Mnaulizia kwa simu au wachezaji
  4. Matumizi ya timu yanazidi mapato
  5. kuuza wachezaji ni kama ndoto (mnatumia msichozalisha and vise versa)
  6. .............................................

Kufadhiliwa na TBL sio tatizo ndio maendeleo yanayotakiwa hata hao Azam Fc unaowasifia wanadhaminiwa na Azam Cola.

Hao Azam unaowasifia wameuza mchezaji gani?

So Azam Fc matumizi yao ndio hayazidi mapato?Mmiliki wa African Lyon alisema hakuna klabu zote Tanzania zinaendeshwa kwa hasara

Back to the point mpira wa bongo still unaendeshwa kiubabaishaji Azam Fc,Yanga,Simba,Coast wote wanafanana
 
Belo soma vizuri uzi wangu, niliamua kuchokoza tu lakn ukweli uendeshaji wa soka letu ni kichefuchefu tu
 
hapa nilimsahau Lino Musombo........dah...........
hili kwangu sina ubishi nalo kabisa
  1. Ningependa pia kupata taarifa za uhakika kutoka kwa tovuti ya timu yangu
  2. Klabu kongwe kama hii kuendeshwa kianalojia ni kadhia kubwa
  3. Ningependa timu na wachezaji kupata publicity na exposure kubwa
  4. hata electronic messages ni kichefuchefu tu, eti --------- kikosi cha timu wakati mpira umeshaisha
  5. hata uendeshaji wa mikutano ni ubabaishaji tu wa Aden Rage
  6. usajili wa timu kwa kuangali mchezaji kwenye mechi moja na hii ilitugharimu sana kwa akina Shiboli, Echesa, Ochieng, Keita, Akufo, Gervas Kago, Kinje, Ntalla na wengineo (kama nimewasahu wataje tu)
  7. klabu inaendeshwa kama chama cha siasa haiwezekani
  8. lazima tukubali kuendana na wakati
 
Ili soka la tanzani liendelee maponduzi makubwa yanatakiwa yafanywe klabu ziwezeshwe kujiendesha zenyewe hapo ndipo nitakapo waheshimu wa klabu zet u,maana timu zetu kubwa sunche na kapeto tunazoziamini hazijiendeshi zenyewe toka miaka ya nyuma hela zinatoka kwa watu binafsi akina mzee kleib,manji,magari na wengineo klabu zinabidi zijiendeshe kwa kuwa na uwanja wake,bidhaa zake,kuuza jezi zake n.k
 
Yule Kamwaga si aliahidi ataifufua,hadi mkataba wake umeisha bila bila
 
Jamani ndugu zangu club kubwa kama simba mpaka leo haina website hii ni aibu ya mwaka tunaomba uongozi mpya wa simba walishughulie hili ni jambo la wiki moja tu....
Nashauri na timu zote za lig ziwe na website ili tuwezepata habari za uwakika
hongereni sana yanga na azam mmeonesha mfano wa kuigwa
 
Ilikuwepo lakini ilifungiwa, nadhani ni kutokana na kushindwa kulipia domain...

Simba.co.tz
 
Back
Top Bottom