Website ya Simba Sports Club Inatia Aibu

Website ya Simba Sports Club Inatia Aibu

download.jpgdownload.jpg
Belo kwa hii ni kama yaleyale tu.........
 
images.jpg
iko siku kila mtu ataipenda tu.................
 
Mimi ni mshabiki wa Simba,ila nimechukua likizo kwa sasa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
View attachment 129882View attachment 129882
Belo kwa hii ni kama yaleyale tu.........

Hapo ni ofisini ,although sio ofisi ya klabu.Pamoja na matatizo ya Yanga suala la transparency na idara ya information wako vizuri
Tofauti na Rage ambaye usajili anaufanyia nyumbani kwake.Yanga ndio klabu pekee Tanzania ambao wanatoa hesabu za fedha za mwaka tena public.Wakati Rage hata kwenye mkutano mkuu hataki kuwakilisha
 
Waseme kama wanahitaji website mimi nitawatengenezea bure ila chini naweka designed by Iyokopokomayoko, kama kuna kiongozi yeyote humu wa simba anicheki kwa pm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom