Siyo mbaya pia kurejea nyuzi zilizopita: https://www.jamiiforums.com/sports/39we-simspocinaibu.html
Yule afisa habari si alidai atatengeneza
Hapo ni ofisini ,although sio ofisi ya klabu.Pamoja na matatizo ya Yanga suala la transparency na idara ya information wako vizuri
Tofauti na Rage ambaye usajili anaufanyia nyumbani kwake.Yanga ndio klabu pekee Tanzania ambao wanatoa hesabu za fedha za mwaka tena public.Wakati Rage hata kwenye mkutano mkuu hataki kuwakilisha
hili kwangu sina ubishi nalo kabisa
- Ningependa pia kupata taarifa za uhakika kutoka kwa tovuti ya timu yangu
- Klabu kongwe kama hii kuendeshwa kianalojia ni kadhia kubwa
- Ningependa timu na wachezaji kupata publicity na exposure kubwa
- hata electronic messages ni kichefuchefu tu, eti --------- kikosi cha timu wakati mpira umeshaisha
- hata uendeshaji wa mikutano ni ubabaishaji tu wa Aden Rage
- usajili wa timu kwa kuangali mchezaji kwenye mechi moja na hii ilitugharimu sana kwa akina Shiboli, Echesa, Ochieng, Keita, Akufo, Gervas Kago, Kinje, Ntalla na wengineo (kama nimewasahu wataje tu)
- klabu inaendeshwa kama chama cha siasa haiwezekani
- lazima tukubali kuendana na wakati
hizo bold zote zina hoja
[/COLOR]
[/B]
- Kwa nini isiwe Klabuni?Kwa hoyo hiyo idara ni private entity?
- kama ni transparency ya kuita waandishi hata Rage alifanya hivyo
- una kadi namba ngapi ? mkutano uliopita alisoma hesabu za fedha tena kupitia wakaguzi wa hesabu
huenda si vyema kuwa sehemu ya tatizo kwa kuunga mkono wa kutokua na tovuti hai hadi sasa lakn tukigeukia utani, tuliposifu Azam kuleta basi mkasema hatutaki basi tunataka ushindi, najaribu kuwaza bila sauti iwapo website ya Yanga imeleta ushindi wowote
- Badi mnafadhiliwa na TBL (hata kununua basi)
- wachezaji mnatafuta kianalojia (SIMBA)
- kOCHA Mnaulizia kwa simu au wachezaji
- Matumizi ya timu yanazidi mapato
- kuuza wachezaji ni kama ndoto (mnatumia msichozalisha and vise versa)
- .............................................
hili kwangu sina ubishi nalo kabisa
- Ningependa pia kupata taarifa za uhakika kutoka kwa tovuti ya timu yangu
- Klabu kongwe kama hii kuendeshwa kianalojia ni kadhia kubwa
- Ningependa timu na wachezaji kupata publicity na exposure kubwa
- hata electronic messages ni kichefuchefu tu, eti --------- kikosi cha timu wakati mpira umeshaisha
- hata uendeshaji wa mikutano ni ubabaishaji tu wa Aden Rage
- usajili wa timu kwa kuangali mchezaji kwenye mechi moja na hii ilitugharimu sana kwa akina Shiboli, Echesa, Ochieng, Keita, Akufo, Gervas Kago, Kinje, Ntalla na wengineo (kama nimewasahu wataje tu)
- klabu inaendeshwa kama chama cha siasa haiwezekani
- lazima tukubali kuendana na wakati
majangahapa nilimsahau Lino Musombo........dah...........
majaaaaaaanga majangamajanga
Wakuu habari
Naomba kuuliza hivi simba website yake ni hipi,
kwani watani naona wanayo hii hapa
The Official Website of Young Africans Sports Club plus blogs
Je simba habari zake zinawekwa wapi?
Naomba kujua ata blogsport, e-mail nataka kumsalimu rage
Alikuwa anatafutia umaarufu wa kupiga mihela ya simba huyo....Yule Kamwaga si aliahidi ataifufua,hadi mkataba wake umeisha bila bila