Website ya Simba Sports Club Inatia Aibu

Website ya Simba Sports Club Inatia Aibu

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
64
Waungwana, Mashabiki wapenzi,wanachama wa Simba Sc na wadau Michezo Nchini.. Hizi timu zetu tunazo ziita kubwa hapa nchini sasa zinatakiwa kujitambua, na kulipa fadhira kwa wafuasi wake, badala ya kutuburuza kwa miaka mingi...
Mambo mengi yanaendeshwa kienyeji sana katika Club za Simba na Yanga.. Kiasi mtu unajiuliza hivi izi ndio Club kubwa Nchini Tanzania na E.Africa?
Angalia website ya SimbaSc, ina kua updated kwa mwendo wa kinyonga... Matukio yakipitwa na wakati ndio yanakua breaking news kwenye official website ya timu hii kubwa... Angalia contents za website hii.. Hata vile vitu muhimu tu kwa Website ya Club za soccer hamna.. Hata contact za kuwasiliana na Club hii hamna... Hakuna fixture,hakuna gallery,Kikosi cha timu, team news ndio izo zinachelewa kuakwa..Mapungufu asilimia 75% hadi uvivu kupitia kwenye website ya Club, habar muhimu kuhusu Club una isoma kwa Shigongo kuithibitisha wiki 2 ndio unaipata kwenye Website ya Club...
Me nawapongeza sana Viongozi wa Dar Young Africans kwa kupunguza Matatizo yanayo zuilika kama haya na kilicho baki kwao ni Changamoto tu za hapa na pale.. Website ya Yanga iko active kwa kiasi kikubwa ina contents ANGALAU za kulidhisha kulinganisha na SimbaSc... AzamFc wao ni Another Level sababu wana jua wanacho fanya!
Account zao za Facebook na twitter ziko active na ni reliable kwa habari wanazo toa, ila Account ya SimbaSc ya Twitter ni Majanga vijana wanasema.. Sasa sijui Viongozi husika hawaoni umuhimu wa hizi tools za communication au dharau tu zilizo ota mizizi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wanatumi muda mrefu kutokwa misuli ya shingo kwenye radio za watu wakati wana vymbo vyao vya habari!

Kweli kabisa... Ufinyu wa mawazo na uvivu wa kufikiri

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtoa mada amezungumzia website ya Simba kutokuwa-updated kwa muda husika lakini cha kushangaza hata account yenyewe iko suspended kwa muda mrefu sana labda kama wamebadilisha domain name vinginevyo ni aibu kubwa kwa viongozi wake wote hebu fuata link hii Account Suspended ujionee mwenyewe.
 
Muda wa kuimba taarabu wanaupata,ila wa ku update hamna
 
binafsi nawapongeza yanga kwa account yao ya fb maana wapo updates kutujuza sisi mashabaki zao nini kinaendelea kwenye club yetu. siku hizh nimeacha kusikiliza redio nafuatilia tu facebook. azam fb account yao bado sana
 
Wakuu habari

Naomba kuuliza hivi simba website yake ni hipi,
kwani watani naona wanayo hii hapa
http://www.youngafricans.co.tz plus blogs

Je simba habari zake zinawekwa wapi?
Naomba kujua ata blogsport, e-mail nataka kumsalimu rage
 
Simba hawana website wala blog,wao kazi yao ni kujisifu kuwa wanauza wachezaji nje,hata usajili Rage huwa anafanyia nyumbani kwake .Yanga wana page Facebook,wana akaunti Twitter na Website
 
Eti Simba wanasema wakifungwa na yanga ndiyo wataweka website,,,,,,,.......kwikwikwiiiiiii!
 
Wapi? pale oppt na wizara ya nishat na madini au?
Simba hawana website wala blog,wao kazi yao ni kujisifu kuwa wanauza wachezaji nje,hata usajili Rage huwa anafanyia nyumbani kwake .Yanga wana page Facebook,wana akaunti Twitter na Website
 
Simba hawana website wala blog,wao kazi yao ni kujisifu kuwa wanauza wachezaji nje,hata usajili Rage huwa anafanyia nyumbani kwake .Yanga wana page Facebook,wana akaunti Twitter na Website
images

images
 
Z

Simba hawana website wala blog,wao kazi yao ni kujisifu kuwa wanauza wachezaji nje,hata usajili Rage huwa anafanyia nyumbani kwake .Yanga wana page Facebook,wana akaunti Twitter na Website
 
Back
Top Bottom