Website ya UDSM mbona haiko User friendly? Tatizo nini?

UDSM ni shina la CCM, nenda Mzumbe au Tumaini mkuu
 
Hao wanajulikana kwa uzembe [emoji51]
 
Nchi yetu ufahar wetu [emoji3]
 
Katika chuo chenye website ya hovyo tanzania basi UDSM namba moja, website imekaa hovyo kabisa mpangilio haueleweki kabisa.
 

utaratibu wa kuangalia selelction si walishautoa mda mrefu sana kwamb ukitaka kuangalia kama umekua admitted udsm u log in kweny account yako.sasa mbona kisiran sana jamaa ang.kila chuo na utaratibu wake.kila siku mada hua zinaanzishw tu mara sijui chuo fulan VS udsm.shida hua nin ndug zang
 
Huo nao ni ujinga mwingine!
Kwani kila anayeangalia list hiyo lazima awe ni mtu aliyekuwa admitted hapo UDSM!
UPUMBAVU WA KIWANGO CHA LAMI!
 
Vyuo vinapokaribia kufunguliwa huwa kuna ile mtu anatoa sifa mbaya dhidi ya chuo fulani. Lakini sio mbaya ni sawa kwani wanapokosa ndio uongozi wa chuo husika wanapata wasaa wa kurekebisha changamoto hizo.
Kwangu mimi the best ni
UDSM
UDOM
Mzumbe
Muhimbili
SAUT
 
Unataka iwe user friendly ili ukahack ujiongezee magred aris? (Joking😀😀😀)
 
Sisi Wabongo kwani tupo serious basi...
 
Kuna vijana wanadanganya wazazi wao kwamba wamechaguliwa. Yakiwa yanaonekana na wote itaepusha wazazi kupata hasara zisizo za lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…