klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe Shantel bana! wewe mwenyewe hii sredi unaikimbia, na wachangiaji wengine waliposhtukia tego wakaamua kuizungumzia ndoa ya Nyumba Kubwa hehehe JF bana!Hata wewe unajistukia....etu brutus????
Hii ngumu kumeza. A guy acheat alafu bado niseme eti ananipenda? Hapana kwakweli, hili huwa siliamini hata kidogo!
Sikukimbia nilikuwa na harusi ya shosti jana ila niliiacha safe kwa ashadii au,kuhusu NK si maoni yao tu! auhehehe Shantel bana! wewe mwenyewe hii sredi unaikimbia, na wachangiaji wengine waliposhtukia tego wakaamua kuizungumzia ndoa ya Nyumba Kubwa hehehe JF bana!
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
It simz siku hizi hata kinyume chake ni true....why tunahalalisha haya? au tupo weak?Hivi nyinyi mumewahi kujiuliza kwanini wazee wetu walihalalisha Jacob Zuma style?
mwanamke mmoja akipata kidume rijali kimoja kinamtosha kabisa na anaweza akaenda kushtaki kwa ovadozi, lakini mwanaume rijali kuamua kuishi na mwanamke mmoja ni big sacrifice na anastahili medali (jamani hii ni nature sio maneno yangu)

Uko sahihi kabisa Shantel. Ni kawaida ya binadamu kuona kasoro za wengine na kukosoa wenzao lakini ya kwao hawayaoni.

Mimi katika pita pita zangu mitaani nimeshawahi kumsikia dada poa mmoja akimsema mmoja wa hao wenzake eti ni 'malaya'. Yaani amini usiamini hii niliisikia kwa masikio yangu.

Mfano mwingine ni mega-church pastor mmoja Marekani aitwaye Eddie Long. Huyu bwana alikuwa anahubiri mahubiri ya kupinga ushoga. Sasa mwaka jana ikaja kubumbuluka kumbe na yeye mwenyewe ni shoga na ushahidi ulikuwepo.

Alikuwa anamegana na wavulana wa hapo kanisani kwake. Hao wavulana wakamshitaki kwa kukiuka fiduciary responsibilities zake. Mwisho wa siku wamekuja ku settle nje ya mahakama.

Kwa hiyo hata hapa ni hivyo hivyo tu. Binafsi nasoma maandishi ya mtu na kama nakubaliana nayo basi nitasema nakubaliana nayo na kama pongezi nitazitoa. Lakini kwa wakati huo huo natambua kuwa hapa tunazungumza kwa maandishi tu tena nyuma ya keyboards.

Mtu anaweza akawa tofauti kabisa na anavyojiweka kimaandishi hapa. Lakini kwa vile maandishi ndiyo tunayoegemezea maoni yetu hapa, hatuwezi kuhukumu kwa uhakika kuwa hicho mtu aandikacho ni cha uongo au cha ukweli labda uwe unamjua huyo mtu kwa kiwango binafsi.

But on balance, I agree with you that talking is one thing, but doing is an entirely different beast altogether.
Mtu anaweza kuwa mbaya kwa mwingine na mzuri kwa mwingine huwezi jua, ila nilivomsoma shantel ni maoni yake tuShantel, kama umetamani au uko kwenye process jiulize mara mbili kwanza, nilivyoona kama uko dilemma Mungu akusaidie usiwe unatamaniana na mtu mmoja hivi humu, maumivu, PM,kwa kweli kutamani ila inabidi uangalie unatamani nani na wapi
Sijui kwa nini wanapenda kujihalalishia kucheatIt simz siku hizi hata kinyume chake ni true....why tunahalalisha haya? au tupo weak?
Shantel, hii hali ipo, na ni kweli stranger anaweza kuwa mpenzi mzuri tu, ila inategemea na wewe mwenyewe ujiulize, why stranger, ni penzi kweli au ni matamanio tu, wapo wengi tu waliodondokea mikononi mwa mastranger na bado wakawa wapenzi wazuri sanasana tuJust because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako
So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi
Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote
sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema
Nyani Ngabu umechambua vyema sanaUko sahihi kabisa Shantel. Ni kawaida ya binadamu kuona kasoro za wengine na kukosoa wenzao lakini ya kwao hawayaoni.
Mimi katika pita pita zangu mitaani nimeshawahi kumsikia dada poa mmoja akimsema mmoja wa hao wenzake eti ni 'malaya'. Yaani amini usiamini hii niliisikia kwa masikio yangu.
Mfano mwingine ni mega-church pastor mmoja Marekani aitwaye Eddie Long. Huyu bwana alikuwa anahubiri mahubiri ya kupinga ushoga. Sasa mwaka jana ikaja kubumbuluka kumbe na yeye mwenyewe ni shoga na ushahidi ulikuwepo.
Alikuwa anamegana na wavulana wa hapo kanisani kwake. Hao wavulana wakamshitaki kwa kukiuka fiduciary responsibilities zake. Mwisho wa siku wamekuja ku settle nje ya mahakama.
Kwa hiyo hata hapa ni hivyo hivyo tu. Binafsi nasoma maandishi ya mtu na kama nakubaliana nayo basi nitasema nakubaliana nayo na kama pongezi nitazitoa. Lakini kwa wakati huo huo natambua kuwa hapa tunazungumza kwa maandishi tu tena nyuma ya keyboards.
Mtu anaweza akawa tofauti kabisa na anavyojiweka kimaandishi hapa. Lakini kwa vile maandishi ndiyo tunayoegemezea maoni yetu hapa, hatuwezi kuhukumu kwa uhakika kuwa hicho mtu aandikacho ni cha uongo au cha ukweli labda uwe unamjua huyo mtu kwa kiwango binafsi.
But on balance, I agree with you that talking is one thing, but doing is an entirely different beast altogether.
Hivi nyinyi mumewahi kujiuliza kwanini wazee wetu walihalalisha Jacob Zuma style?
mwanamke mmoja akipata kidume rijali kimoja kinamtosha kabisa na anaweza akaenda kushtaki kwa ovadozi, lakini mwanaume rijali kuamua kuishi na mwanamke mmoja ni big sacrifice na anastahili medali (jamani hii ni nature sio maneno yangu)
Gaga,,,you mean thisShantel, hii hali ipo, na ni kweli stranger anaweza kuwa mpenzi mzuri tu, ila inategemea na wewe mwenyewe ujiulize, why stranger, ni penzi kweli au ni matamanio tu, wapo wengi tu waliodondokea mikononi mwa mastranger na bado wakawa wapenzi wazuri sanasana tu
na sentesi zako ya kwanza na ya pili zina maana kubwa sana coz sometimes zimwi likujualo halikuli likakwisha
maaana nzito sanaGaga,,,you mean this
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
Nashukuru kwa kuzikubali
Kwa hiyo we umeamua kunijaji kabisa.....lol! Kusema kweli huwa nayaona hayo mapenzi ni ya upande mmoja ambayo binafsi siyaamini kabisa hivyo mwanaume akicheat naona kama he is not into me, and that mapenzi yamebaki upande wangu tu! Sasa mapenzi ya upande mmoja ya nini wakati najua hatma yake ni kuumia tu? Hata kama nikiwa kwenye ndoa kwakweli......,labda nisigundue manake nitakuwa kama napiga danadana kwa ulimi tena mpira wenyewe ukiwa hauna upepo!
Hivi nyinyi mumewahi kujiuliza kwanini wazee wetu walihalalisha Jacob Zuma style?
mwanamke mmoja akipata kidume rijali kimoja kinamtosha kabisa na anaweza akaenda kushtaki kwa ovadozi, lakini mwanaume rijali kuamua kuishi na mwanamke mmoja ni big sacrifice na anastahili medali (jamani hii ni nature sio maneno yangu)
kweli kabisa hapa kinachotakiwa ni kuamini tu na kujipa moyo japokuwa kihalisia unajua kabisa nini kinaendeleaSikua na nia hio... hapa niitaka niseme sija kujugde... ila niliporejea post yangu nikakuta ni kweli.... Hivo naomba NISAMEHE...
Huo mtazamo wa mwanaume akikucheat then he is not in to you... Bahati mbaya mie siamini hivo... anaweza akacheat na akawa in to me, Haya mambo yaache tu... Circumtances za kucheat zimetofautiana saaana, hivo nayo pia counts (as in where was he alipocheat na when...nayo ni mhimu ku observe); Nitolee mfano ulowazi... kwa mwanaume kenda maybe kusoma nje akakuacha wewe Mpenzi wake hapa Tz, kama ni mwanaume wangu (na najua ni rijali hasa) Sitaamini kua kakaa miezi yooote tisa bila kukutana na Mwanamke... I wont believe it for i am too realistic for that! Sina maana kua nakubaliana na hio tabia... Sina maana kua nachekea... wala sina maaana kua yeye ana haki ya kufanya hivo... na wala sina maana kua sababu nitatambua hilo basi namimi nitafanya.... Najithamini mno kufanya huo upuuzi - labda iwe factors zingine...