klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
karib tena! vipi bihalusi alipendeza? hatualikani basi?Sikukimbia nilikuwa na harusi ya shosti jana ila niliiacha safe kwa ashadii au,kuhusu NK si maoni yao tu! au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karib tena! vipi bihalusi alipendeza? hatualikani basi?Sikukimbia nilikuwa na harusi ya shosti jana ila niliiacha safe kwa ashadii au,kuhusu NK si maoni yao tu! au
Scientifically proved!wacha bana!!!!
Miezi tisa mingi sana kwa hawa kaka zetu lakini unaweza kuwa umebahatika kuwa na mume mwenye ustahimilivu, wapo ila wachache sana, na ndio maana wanafanya tuache asilimia nyingi kwamba wanafanya tu bora usijueSikua na nia hio... hapa niitaka niseme sija kujugde... ila niliporejea post yangu nikakuta ni kweli.... Hivo naomba NISAMEHE...
Huo mtazamo wa mwanaume akikucheat then he is not in to you... Bahati mbaya mie siamini hivo... anaweza akacheat na akawa in to me, Haya mambo yaache tu... Circumtances za kucheat zimetofautiana saaana, hivo nayo pia counts (as in where was he alipocheat na when...nayo ni mhimu ku observe); Nitolee mfano ulowazi... kwa mwanaume kenda maybe kusoma nje akakuacha wewe Mpenzi wake hapa Tz, kama ni mwanaume wangu (na najua ni rijali hasa) Sitaamini kua kakaa miezi yooote tisa bila kukutana na Mwanamke... I wont believe it for i am too realistic for that! Sina maana kua nakubaliana na hio tabia... Sina maana kua nachekea... wala sina maaana kua yeye ana haki ya kufanya hivo... na wala sina maana kua sababu nitatambua hilo basi namimi nitafanya.... Najithamini mno kufanya huo upuuzi - labda iwe factors zingine...
Dah! yaani wewe tangia upigwe kibuti na Lizzy ndio umeamua kuhama kijiji kabsaaaa! karib tena bana! hakikisha unapitia sheria za JF kabla kuanza kupostKaka, habari ya kuadimika?
Unajua hata iwe vipi shantel lakini kimaumbile hasa mwanamke akicheat basi nature inamsuta in every angle. (hebu fumba macho dakika 5 ufkirie utagundua nimeongea bonge la pwenti)It simz siku hizi hata kinyume chake ni true....why tunahalalisha haya? au tupo weak?
Kama nature inasuta mwanamke, kwa hiyo mwanamke ambaye nae anatafuta kuridhishwa yaani mumewe yuko weak nature itamruhusu acheat?Unajua hata iwe vipi shantel lakini kimaumbile hasa mwanamke akicheat basi nature inamsuta in every angle. (hebu fumba macho dakika 5 ufkirie utagundua nimeongea bonge la pwenti)
Klorokwini klorokwini?Unajua hata iwe vipi shantel lakini kimaumbile hasa mwanamke akicheat basi nature inamsuta in every angle. (hebu fumba macho dakika 5 ufkirie utagundua nimeongea bonge la pwenti)
Niliweka neno "mwanaume rijali", wewe unaongelea wale hafu kasti Shantel!Kama nature inasuta mwanamke, kwa hiyo mwanamke ambaye nae anatafuta kuridhishwa yaani mumewe yuko weak nature itamruhusu acheat?
au huyu jamii itamuelewa, maana umesema wanaume inawabidi ina maana kuna wakati pia itabidi kwa mwanamke?
Gaga Gaga? haujambo ile homa?Klorokwini klorokwini?
Miezi tisa mingi sana kwa hawa kaka zetu lakini unaweza kuwa umebahatika kuwa na mume mwenye ustahimilivu, wapo ila wachache sana, na ndio maana wanafanya tuache asilimia nyingi kwamba wanafanya tu bora usijue
Kwa hiyo haijawahi kutokea mwanamke akamridhisha vizuri sana mumewe kila anapohitaji na bado anatoka?Niliweka neno "mwanaume rijali", wewe unaongelea wale hafu kasti Shantel!
Mwanamke kama hauridhishwi unatakiwa kuacha sio kucheat, hapo nature itakuelewa
Na wewe umeadimika sana,maoni yako please
Binafsi, siwezi kushangaa kama mke wangu kama atamzimikia mtu mwingine kutokana na quality fulani..hata kama atakuwa anawasiliana na kushauriana kwangu sio issue..ni human instinct na inaonyesha yeye ni kamili..lakini Issue itakuwa tu kama atashindwa kudhibiti vishawishi vya mwili na kuanza ku-cheat. !
Dah! yaani wewe tangia upigwe kibuti na Lizzy ndio umeamua kuhama kijiji kabsaaaa! karib tena bana! hakikisha unapitia sheria za JF kabla kuanza kupost
Sijambo sana tu niko fresh,achaa matata unataka kujihalalishia sioGaga Gaga? haujambo ile homa?
Nimekupata uzuri sana mie mzima sana kwa sasa mpendwaAsante Gaga naona umenipata... Mzima lakini?
Ashadii , Tulizo ni stranger wako nini,hahahahaaa joke, it seems humu kila mtu ana secret admire wake ila Tullizo huwa napenda sana na mie michango yakeTulizo... That is why i soo wanted your input for i am still trying to figure you out... Nimeacha this part of your post, for to me is the one that has standed out (as per my interest) Misimamo yako in love na relationships iko superficial (yaani profound) saana; and thus still imagine how care free you are.... Naona sasa leo umeniongezea kibomu kingine... I don't know nisem nini... Ila tu imenifanya niamini kua you have a unique heart... ungekua young ningesema wait and see, naamini you are not yet old but i do know kua tayari wajitambua hivo no need of waiting to see....
Kwa hiyo haijawahi kutokea mwanamke akamridhisha vizuri sana mumewe kila anapohitaji na bado anatoka?
Daaaah
Yameanza ya Lizzy tena?
Hahahahahah
Kaka, nimeshasahau kusoma, sasa utanisaidiaje?
Au mpaka uwe na weekend special ya Shantel?