Huko sijafika... Upuuzi wa kupigania mwanaume na mwanamke mwenzangu siwezi wala siwezi thubutu! Kujichafua tu na kujitia Nuksi... Mie nawaelewa saaana wadada, akijua kua unajua kua anatoka na mwanaume wako huwa fahari kwake... I can not give her that advantage, kama namfahamu na tulikua na mahusiano mazuri - nikagundua nitamkwepa saana, na pale tutapoonana life will go on kama vile sijui kitu kabisa! Mimi nagombana na my man... yeye ndio nitagombana nae for ni dhahiri in most cases wao ndio wafuataji...
Ni aibu saana unaenda gombana na mwanamke mwenzio, alafu bado huyo mwanaume wako akaendelea kutoka nae... For one thing is for sure; Najua kabisa mwanaume aachi mwanamke eti tu sababu umefumania ama umetambua... What he does ni kubadilisha mfumo mzima wa kuwasiliana na huyo hawara, atakudanganya kua kamuacha... But believe me you kama hajaamua kumuacha maneno yako (mke) ni kelele tu maskioni mwake... Sad, but ndo ukweli wenyewe... However as much as ni muelewa kua wanaume hua wanatoka... One thing is for sure! Ahakikishe nisijue.... in other words nikijua, asijue kua najua... akijua kua na jua - Hio havoc nitaangusha hapo (kama najua siondoki)... huh! Kama there is no hope; ni kimya kimya.. mdogo mdogo... naachia ngazi, for then nakubali kua ni limbuken for kama anashindwa kabisa kuficha upuuzi wake kwa mkewe.... ili kunijengea heshima na kuonesha kunithamini... then he is not worth my while....