Week end Special

Week end Special

Will u marry me? lol (Kaizer akikudivorce nishtue)

Kwenye mabano... It wont happen...lol... That Guaranteed!! (Gosh! i am humbled... Of coz i will marry you if and when i am free)

Now you know why I married her in the first place au sio Kloro...manake naona unamemezea mate mke wa mtu apo lol
On a serious note your wish ni kama fisi akitamani mkono wa binadamu udondoke .....hahahaha
 
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi

Inaendaga mbio ndio ila ndio hivo tena tunjizuia coz inaonyesha hakuna penzi linalochanua
ndani ya jf kila mtu ni machozi tu analia,katendwa, watu waongo, hawawi wakweli, naona wanatamaniana tu
inaonekana bora ukutane na mwanaume baa au disco kuliko humu, maoni yangu tu shantel
 
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako

So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....

Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote

sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema

Shantel haya maneno mbona kama umegusa mtima wangu!.....mwenzio maamzi niliyochukua ni kufuata kipendacho roho.I pray tha I make it through this relation..............
 
Flovans umenifurahisha kweli na hii post..lol... Tread carefully and enjoy....
 
Shantel haya maneno mbona kama umegusa mtima wangu!.....mwenzio maamzi niliyochukua ni kufuata kipendacho roho.I pray tha I make it through this relation..............
Umeona eee, wakati mwingine kufata moyo ni muhimu mpendwa, thanks kama umeifurahia
 
jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi

Inaendaga mbio ndio ila ndio hivo tena tunjizuia coz inaonyesha hakuna penzi linalochanua
ndani ya jf kila mtu ni machozi tu analia,katendwa, watu waongo, hawawi wakweli, naona wanatamaniana tu
inaonekana bora ukutane na mwanaume baa au disco kuliko humu, maoni yangu tu shantel

huyo ni dinnah, kuna wengine wanajitahidi ina work out, coz baa, disco,daladala watu unaowakuta kule
nao usikute wako humuhumu pia baadhi
 
Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
kama Mungu amepanga itokee kwako

So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....

jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi

Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote

sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
week end njema

Watu wana bahati zao humu JF. Ngoja nikufuate PM, yawezekana nikawa mimi ati! Who knows?
 
Unapopenda,penda kwa kumaanisha,la sivyo ndio kuuendekeza mwili na tamaa zake.
Hivi ukishikamana ulipopendwa inakuzuia kutamani? ni kaswali tu? ni kweli kabisa usemayo what if imetokea tu bila kutegemea
 
Ile mistari na mashairi yangu kule kwenye PM umenichunia...Ama kweli mimi domo zege. Ngoja nijipange upya!
Ipi au umetumia ID yako ile ingine? jipange tena
 
Kama mm kuna mmoja humu jina tu ingawa si lake mapigo yanaenda mbiyoo......the same name as of my g.f......
 
Kweli shantel stranger can be a great lover ila inatakiwa uwe mwangalifu sana, asije geuka vampire
 
Kama mm kuna mmoja humu jina tu ingawa si lake mapigo yanaenda mbiyoo......the same name as of my g.f......
Mkuu itakuwa jina tu linakuchanganya nadhani
 
Now you know why I married her in the first place au sio Kloro...manake naona unamemezea mate mke wa mtu apo lol
On a serious note your wish ni kama fisi akitamani mkono wa binadamu udondoke .....hahahaha
Hizi ndoa za mkeka itabidi tuzichunguze kaizer
 
Back
Top Bottom