Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
ahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!mbona hiyo cha mtoto..
wamama inawatokea anafika sehemu anaona kumbe maisha yoote ame sacrifice
kwa jitu lisilo na shukrani.kama amepoteza ujana kwa the wrong person...
unaweza imagin what next....