I know dear... I know kabisaa na do accept kua haya mambo yakitokea katika ndoa things never be the same again, In fact kuna thread iliwahi uliza hii issue ya Would you say it? (Courtesy of Kaizer)
LINK ... Hii page post # 219 for nishakuwekea page.. nimeelezea vipi nitachukulia nikigundua ka cheat, na ni kipi kitanifanya nibaki ama niondoke... Hii thread ilitoa saana insight ya jinsi members wake kwa waume wanachukulia cheating...
Narudia i am very possessive... But my possessiveness inaweza isiwe evident kwake akaona kama namuacha huru (in the sense i have my lines/bounderies i don't allow him to cross) - I do that kumsoma zaidi... Na lingine naongea mambo mengi from experience, i was married (my first ndoa) for kama 19 months... in those months huyo ex ali cheat na wanawake watatu (hao ndio i was aware... you can imagine) wa nne nilimwambia najua mienendo yake na nikaachia ngazi... Hakuamini... Bado haamini... Hivo ninaposema i understand him to cheat.. Simaanishi nafumbia macho daima... Kuna factors nyingi... Haya mambo ya ndoa haya.... Hapa naona sina la kuongeza....