Dogo yuko fast kishenzi!
Si upande tu tax au daladala ushuke pale udom upate utakacho.
Mabinti wa humu ni great thinkers haswa! hawapatikani kwa haraka kihivyo.
Dogo yuko fast kishenzi!
Si upande tu tax au daladala ushuke pale udom upate utakacho.
Mabinti wa humu ni great thinkers haswa! hawapatikani kwa haraka kihivyo.
*Starehe zitakuponza,itakwaje ukutane na mtu leo,hujui tabia yake,hajui yako,hamfahamiani na kuanza malavidavi leo?wangapi uliowapata kwa style hiyo?nakushauri kama umeamua tafuta wale wa kuwanunua ili kuokoa mda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.