Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kasema sio fan,hazipendSi mcheck national league zinaendelea
Acha kamari, utanishukuruNipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji.
Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL.
Hii wiki ya International break kwakweli inaboa sana na kuchukiza kwa sisi wapenda kabumbu la EPL.
Kwakweli sijawahi kuwa muumini wa mechi za timu za taifa, kamwe!
Af kweli hiyo ni sababuAcha kamari, utanishukuru
Yaani we nini mimi kabisa, huwa najitenga na hayo mazombiMimi nikikuta bar Imejaza raia wanafuatilia Mpira(EPL, Mpira wa bongo,etc) Ni either nisepe hio bar au nikae kwa nje/sehemu ambapo sioni huo mpira.
Nataka nipige kinywaji kwa utulivu kabisa.
Acha punyetoYaani we nini mimi kabisa, huwa najitenga na hayo mazombi
Jitahidi uache ndugu yangu.., fanya hima..Acha punyeto
Me nawatch international match zote ambazo player wa my club wanacheza
Dah sisi wapenzi wa NBCPLvmasikitiko yetu hayaelezeki. Weekend bila soka letu kivyetuvyetu haikamiliki
Channel gani,hii skujua though nmeona tu mtandaoniKuna e premier League dstv ..
Video game matches live...
DST kama Una kifurushi cha compact Anza 220 next then next utaipata tuChannel gani,hii skujua though nmeona tu mtandaoni