Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Nakula makande nliyoyapika kwa utuvu siku ya leo na kikombe changu cha chai ya kijani pembeni,..naam,naburudika hapa nyumbani huku ndege wakikuna masikio yangu kwa nong'onezo zao..
Usisahau kushushia na denge
 
Mi tayari nishati timu mnadani nakula nyama...njoo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…