Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Weekend hii upo wapi na unafanya nini

Mm nipo uswahilini kwetu [emoji847]
20190727_181435.jpg
 
Nakula makande nliyoyapika kwa utuvu siku ya leo na kikombe changu cha chai ya kijani pembeni,..naam,naburudika hapa nyumbani huku ndege wakikuna masikio yangu kwa nong'onezo zao..

Yaani wewe nakula aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera Mimi Nipo safarini naelekea Mars
 
Back
Top Bottom