Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuPoa poa natuwa hapo mda si mrefu
Sijaenda bado nipo square natengeneza kuchaNipo sabasaba nasuka umeshaend mnadan tayar
tupo dar mkuu, ubungo river side up hillNipe location tu
Asante mida basitupo dar mkuu, ubungo river side up hill
[emoji23][emoji23][emoji23].. Umejuaje?Mbona mto wa pili Hauna mtu mkuu Jr?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sare sare mauaShuka ka zangu mbona ?
AiseeeGeto natombana
Looh.. !! Kabisa..Nipo njiani kuelekea Pestana Pub kwenye hili jiji jipya la wagogo..na kwenda kupata Bia Baridiiiiii
Huko ndio dunia ilipo.Hivi huko insta kunafananaje maana sjawai kufika kabsaa
Nauona labda Kama umembania upande wa pili[emoji23][emoji23][emoji23].. Umejuaje?
Ndio ndio [emoji122][emoji122][emoji122]Marafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar
Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar
Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar
Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe
Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki
Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja
Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum
Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa [emoji3] huyu ndio rafiki wa kweli kwako
USHAURI
Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako
#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Nimefurahi tu shem nakuvutia picha unavyotaka kutusumbua baadae kuleeeeMama edan vip mbona umefurahi sana?
Ya ngapi hiyo?Nipo platinum park! (Mataa) hapa dom!! Nashusha dompo.
Hicho kiwanja kinabamba kuanzia tatu tatu ivi.Mimi mgeni pande hizi,kuna mtu kaniambia nisogee hapo..kumbe nitakuwa nimeyumba!!??
Umehamia huko na weweNipo njiani kuelekea Pestana Pub kwenye hili jiji jipya la wagogo..na kwenda kupata Bia Baridiiiiii