Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Ndio ya kwanza hii,nikishatafuna nyama huwa simalizi,inayobaki narudi nayo home... Ya chai asubuhi.Ya ngapi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ya kwanza hii,nikishatafuna nyama huwa simalizi,inayobaki narudi nayo home... Ya chai asubuhi.Ya ngapi hiyo?
Sijaenda bado nipo square natengeneza kucha
Si ulisema leo utashinda pale mahali mkuu?
Mwenza ukala makande peke yako[emoji134][emoji134][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Nakula makande nliyoyapika kwa utuvu siku ya leo na kikombe changu cha chai ya kijani pembeni,..naam,naburudika hapa nyumbani huku ndege wakikuna masikio yangu kwa nong'onezo zao..
Hapana,nimekuja tu kutembea..Umehamia huko na wewe
Njoo chukua mwenza yapo kibao,.na yalivyokolea nazi basi ni kujamba tuu leo usiku kucha,.Mwenza ukala makande peke yako[emoji134][emoji134][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Ozzzaah,..kama kawaiidaaahMm nipo uswahilini kwetu [emoji847]View attachment 1164695
OkayHapana,nimekuja tu kutembea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo chukua mwenza yapo kibao,.na yalivyokolea nazi basi ni kujamba tuu leo usiku kucha,.
Kama kawa babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ozzzaah,..kama kawaiidaaah
Juu ya meza ya pepsi wewe unakunywa heinkein??Mm nipo uswahilini kwetu [emoji847]View attachment 1164695
Hahahha watamfunga mwenye bar mm mteja tuJuu ya meza ya pepsi wewe unakunywa heinkein??
Pepsi watakufunga[emoji23][emoji23]
Nakula makande nliyoyapika kwa utuvu siku ya leo na kikombe changu cha chai ya kijani pembeni,..naam,naburudika hapa nyumbani huku ndege wakikuna masikio yangu kwa nong'onezo zao..
Yaani Colii napenda kula mimi jomoniii😂mars kunani??Yaani wewe nakula aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera Mimi Nipo safarini naelekea Mars