Weekend hii utakuwa na nani?

Weekend hii utakuwa na nani?

Tatizo ni kupingana na asili, ni sawa na kulazimisha gari ndogo ivute lori kwa sababu ni maamuzi binafsi

Kama gari ndogo ina nguvu ya kutosha kuvuta gari kubwa maamuzi yanakuwa sahihi.

Mkuu imenibidi sababu sina mwenza wa kuwa nae, na siku hizi sio mtu wa kutoka tena.
 
Nitoke na jitu linalokunywa pepsi tena ya moto inahuuu??unatoka out na men ana laki??? Si bora kulala mkuu😉!
Mimi ndo nikutake wewe sio wewe unitake mimi😌😌😌😌😌😌! Toka lini majimama yakatongozwa? Yanatongoza babu weee!😤😤😤😤😤😤😤😤
😃😃😃
 
Nitoke na jitu linalokunywa pepsi tena ya moto inahuuu??unatoka out na men ana laki??? Si bora kulala mkuu[emoji6]!
Mimi ndo nikutake wewe sio wewe unitake mimi[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]! Toka lini majimama yakatongozwa? Yanatongoza babu weee![emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mane mimi najua wewe ni msukuma ila unabehave kama mzaramo kwa nini lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom