Weekend : karibuni wakuu tuharibu akili kwa vinywaji changamshi

Mimi sijawahi hata kuonja Pombe.

Nimeona pombe za Tanzania zilizothibitishwa na TBS ZIKIANGAMIZWA HUKO RWANDA.

Jihadharini kwa Figo.
Jihadharini Sukari.
Magonjwa ya Ini na Moyo.
 
Kabla hujaanza kulewa hakikisha umekula vizuri mlo kamili umeshiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…