Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Daaaaah basi fanya mpango wa hawa ambao wanataka ndoa sasa
Hawataki ndoa bali wanakutumia kingono, utapigwa mijeledi wewe, utafungwa mikono na miguu, utalazimishwa kulamba kila mahali ili mradi tu fujo sababu wewe unakua 'slave' wake... humuachi mpaka akuache yeye.. sharti uwe mweusi tii pia uwe na 'hogo' sio 'kidole'

[emoji4][emoji4][emoji1]
 
Umedanganyika!
Ardhi na Anga ya Tanzania haiwatambui wadhungu!
Yaani unataka kukaribisha mikosi na nuksi hata kifo ndugu yangu!
Hawa watu ni hapana kabisa!
Labda uende nae kwao mka bebe mabox!
That’s all walahi
 
Hawataki ndoa bali wanakutum_ia kingono, utapigwa mijeledi wewe, utafungwa mikono na miguu, utalazimishwa kulamba kila mahali ili mradi tu fujo sababu wewe unakua 'slave' wake... humuachi mpaka akuache yeye.. sharti uwe mweusi tii pia uwe na 'hogo' sio 'kidole'

[emoji4][emoji4][emoji1]
Hahahahaa Teh teh teh. Hao. Ndo wazuri maana APA. Na ...mwka sijagegeda atakubari tu hogo lipo LA kutoshaa we fanya .mambo tu lazima mzungu akimbie na ajue sisi . ndo wa naume wa mikoani
 
Hawataki ndoa bali wanakutumia kingono, utapigwa mijeledi wewe, utafungwa mikono na miguu, utalazimishwa kulamba kila mahali ili mradi tu fujo sababu wewe unakua 'slave' wake... humuachi mpaka akuache yeye.. sharti uwe mweusi tii pia uwe na 'hogo' sio 'kidole'

[emoji4][emoji4][emoji1]
Nimekumbuka 50 Shades of Grey
 
Fanya diet umbo liwe kama Nandi au Rubi halafu mrefu kidoogo watakufuata wenyewe ukitembelea maeneo yao.
Nikifika umbo la Nandi ntaambiwa nimethirika. Kwanza sipendi watu wenye ngozi nyeupe kabisaa. Nilijaribugi mmoja enzi hizo nikanawa mikono. Mi napambana na waafrica wanaolewa mwanamke nyama sio hao wanaotaka mifupa. Sema nao wamebadilika siku hizi wanatutongoza hadi vibonge [emoji23][emoji23]
 
Kaka zetu wa kikurya na kisukuma hawataeza zile shurba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wabakie tu na sisi ndugu zao wenye mizigo
Wazungu wastaarabu wapo wengi tu ila hapa tunazungumzia kasumba ambavyo ni sawa na wazungu washamba wanavyodhani Afrika tunaishi kwenye miti na wanyama
 
Kupitia huu uzi, ninazidi kuuona ujinga wa Watanzania ulivyo.Hivi mtajishusha mpaka lini kama wenyewe mmeshaanza kujidharau hivi mnatarajia kuna watu watawaheshimu?
Mnawanyenyekea sana wazungu kama Miungu yenu.
wewe huwanyenyekei?
 
Badilisha kwanza hiyo ID yako,badala ya kujiita Kijana wa Dar please jiite Mwanaume wa Dar!
 
Back
Top Bottom