Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

Weekend kwa Dar es salaam ni maeneo ya beach au club gani nikienda sikosi kuopoa mtoto wa Kizungu ?

hawa watu wakijaga kutokea mazimbu huko na hela zao za kilimo cha vitunguu wanasumbua sana, mtu nilienda nae ELEMENTS ANASHANGAA BIA 6000 kisa wametangaza bia zimeshuka hadi Buku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hawa watu wakijaga kutokea mazimbu huko na hela zao za kilimo cha vitunguu wanasumbua sana, mtu nilienda nae ELEMENTS ANASHANGAA BIA 6000 kisa wametangaza bia zimeshuka hadi Buku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaaani ", nawale huwa wanapenda", wine" mizinga miwili tu ya Jd mtoa mada lazima apagawe"", na ili kuwapata wale aende sea clif" yatch club " huko" sasa akienda na hiyo 90k yake'',si itaishia kwenye gharama za usafiri tu
90 taks tu
 
hahaaa " inategemea na mahali anapoishi " so kama anatokea g.mboto to " oysrterbay masaki" 90k yote inaisha hahaaa
Tena inaweza isitoshe akiwa na 90 aje kwetu uswazi huku gesti elf5, msosi 3500,kuhonga elf 20 hapo yaani utamuweza balaa
 
Sasa kakaaaa... mwanamke utaopoa hivyo kweli kwa staili hiyo mzee... unaweza ukaenda ukawaona hao wazungu na bado usifanye kitu hata... nenda Kwenye Hotel kubwa kubwa... get seated at the Lobby order for a cup of Coffee then Chill... you have to this consecutively bro... utapata tu... japo asilimia kubwa wanakuwa na waume zao... watch out brother
 
Ukikutana na mtoto wa kizungu akaagiza yale ma-cocktail ukaambiwa glas 48k sijui utabakiwa na ya uber au vip,
 
Tena inaweza isitoshe akiwa na 90 aje kwetu uswazi huku gesti elf5, msosi 3500,kuhonga elf 20 hapo yaani utamuweza balaa
hahaaa sasa huko uswazi mzungu atamtoa wapi" labda tumuunganishie kwa albino"yeyote labda " anaweza kufutia machozi huko
 
Back
Top Bottom