Huyo jamaa ni among my favourite Actor..sema kazi na umri "smookin, who cares" 🤣😁😁😁thanks
Pia fanya TBT ya jima carrey pet detective part 1 na 2
SubscribedComedy- American Boy, Chandelier
Action - Shelter, the Bluff, Scream 7
Animation - GOAT
Jionii hii hapa kunyoosha miguu na kupooza koo 🤣
🤣🤣 Channing TatumRoofman -jizi lililokuwa linakaa juu ya paa.Jizi ni jizi tu hata ulivalishe suti bado litakuwa jizi tu.
Haipo siyo? 😂.😁😁aisee
😁😁Roofman -jizi lililokuwa linakaa juu ya paa.Jizi ni jizi tu hata ulivalishe suti bado litakuwa jizi tu.
Hivi hakuna movie yenye maudhui ya kupiga nyeto?
Kama ipo nisaidieni tafadhali.
Fatal seductionHivi hakuna movie yenye maudhui ya kupiga nyeto?
Kama ipo nisaidieni tafadhali.
Baba jizi hiloo ,usiku mzima linabugia tu peremende za dukani.Kweli jizi hata ulipulizie pafyumu chupa 10 bado litabaki kuwa jizi tu .🤣🤣 Channing Tatum
Ngoja niisake😁😁
Sawa mkuu.
Ebu angalia na wedding crashers uone vijana wa ovyo wanavyovamia harusi bila kualikwa ili wajipatie mademu wakali waliokuja kwenye harusi