Weekend movies suggestion za comedy. Dondosha chini hapa👇👇, kila moja utakayonipa nitakusugestia mbili nizijuazo

Weekend movies suggestion za comedy. Dondosha chini hapa👇👇, kila moja utakayonipa nitakusugestia mbili nizijuazo

Iwe dark humour, iwe action comedy, Iwe comedy drama, we angusha.
Angalia hii filamu ya dark comedy inaitwa ''Bad Shabbos'' ya mwaka 2024. Kama umewahi kuona dark comedy inaitwa ''Death at a Funeral'' ya mwaka 2007, basi zina uelekeo wa aina moja. Ni vituko vya kuchekesha baada ya mgeni kufariki ghafla...
 
Hahaha death at funeral the best aiseee.

Basi pia tazama pia game night😁
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    33.6 KB · Views: 18
Katika movie ambazo siwezi kuziangalia ni movie ya action halafu steringi mwanamke. Naonaga movie inakosa uhalisia. Mfano salt, angelina jolie ambae hata mimi namtandika makofi vizuri kabisa lakini kwenye movie anapiga mijitu yenye misuli halafu sio mmoja sasa ni kundi la wanaume. Kuangalia movie ya hivyo siwezi kwa kweli
 
Family plan ( action comedy )
The other Guys ( action comedy )
The Blackening ( Horror, Comedy )
Holidate ( romantic comedy )
We are the millers ( comedy )
 
Napenda movie za intelijensia km Shelter na zinginezo km unazifahamu mention hapa hata 20 za kuanzia
 
Safi sana mkuu I salute you
 
Mkuu angalia hii movie ya Kihindi na kizungu inafurahisha sana

Mzungu mmoja na mkewe wameenda India kutafuta mwanamke wa kuwabebea mimba(Sarogate)
 
Attachments

  • IMG_0250.jpeg
    IMG_0250.jpeg
    47.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom